Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Na hizi gharama za mabando bro?
Utaona tv tu kwa mwezi imekula 500k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana matumizi ya kawaida kwa kutumia router kwa siku natumia 10k sasa hiyo tv watoto washinde wanatazama catoons,mara movies utasikia 30k shwalalalaaaa
Naona WiFi ni rahisi zaidi au huko ni tofauti?
 
Na hizi gharama za mabando bro?
Utaona tv tu kwa mwezi imekula 500k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana matumizi ya kawaida kwa kutumia router kwa siku natumia 10k sasa hiyo tv watoto washinde wanatazama catoons,mara movies utasikia 30k shwalalalaaaa
Nunua Airtel 110k/month 30MBps
 
tatizo hizi iptz link kila siku zina expire.utanisaidiaje kwa hilo?? mimi ninayo bundle unlimited tayari
Na hapo ndipo utata ulipo, kila siku zina expire na yeye sie anayehost hizo TV kila siku ni kuhamishwa hapa unapelekwa kule, mara mia ukawalipe wale wazungu wenyewe kidodgo unakua na amani make mi nina uhakika kabisa mbongo yeye anaziotea tu zile za bure huko mtandaoni then anauza leo unapewa Link za Dstv mara kesho imekwisha unarudi Square one.
 
IPTV zipo za free na paid, free zina corrupt sana, paid ni reliable kwasababu server zao zinakuwa maintained zipo kibiashara, wengi bei zao wanacharge kwa mwezi, around 10usd, miezi 3 around 25Usd, kuna miezi 6 na mwaka, wanatoa channel nyingi sana, ukitaka uinjoy zaidi hii service hasa hd & 4k channels uwe na unlimited internet, lkn hiyo ya kupimiwa itakubore tu
 
Game ya
Simba vs TripoliπŸ”₯πŸ”₯ tumefaidi
 

Attachments

  • XRecorder_22092024_173636.mp4
    22.9 MB
Mkuu, unaitumia hii au unaitangaza tu?! Nimekuwa nikitafuta IPTV isio na magumashi lakini sijafanikiwa!!
 
Mkuu, unaweza kunitajia moja wapo au zaidi ambazo ni reliable?! Nitacheki mwenyewe kama services zao zipo hadi Afrika!

NB: Hayo ya kuwa karibu na mnara wa simu ni majaliwa tu ndugu yangu, Bongo ni matatizo. Binafsi naishi chini ya 20M kutoka Mnara wa Simu lakini bado speed ninayopata ni majanga; kwahiyo ingawaje streaming inawezekana; mara kadhaa inakuwa kwenye low video quality hadi wakati mwingine nikiona movie/tv kali Netflix nalazimika kuitafuta torrent na ku-download.
 
Hapana ni biashara nauza inafanya kazi vizuri tu! Kaka naomba nikutumie test kwa masaa 24 uone kwanza
Mkuu, unaitumia hii au unaitangaza tu?! Nimekuwa nikitafuta IPTV isio na magumashi lakini sijafanikiwa!!
Bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…