Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Huduma hii daima inatumia bando ni teknolojia ya IPTV (Internet Protocal Television) kama nchi za wenzetu ulaya nyumba nzima huoni dish limetundikwa wanatumia hii teknolojia kwa sehemu kubwa
Sasa ulaya unataka kulinganisha na Afrika kweli?.

Hapa kwetu bundle la 5000/- unatumia siku moja na hiyo speed ya net sasa!!
 
Mkuu ingia google, search ''list of IPTV providers'' utapata list ndefu. Soma website zao zote ili uchague gharama nafuu na yenye channels zinazokidhi mahitaji yako. Nyingine wanakupa mpaka offer ya kujaribu kwa masaa kadhaa kabla hujanunua.
 
Inashawishi
 
Na hizi gharama za mabando bro?
Utaona tv tu kwa mwezi imekula 500k [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana matumizi ya kawaida kwa kutumia router kwa siku natumia 10k sasa hiyo tv watoto washinde wanatazama catoons,mara movies utasikia 30k shwalalalaaaa
[emoji845] VIFURUSHI BEI[emoji845] ZIMESHUKA LEO WAHI[emoji845]

GB ZA HALOTEL WIKI 2
GB5=5,000
GB7=7,000
Gb10=10000.

GB ZA HALOTEL MWEZI
Gb10= 10000
GB13=12500
GB15=14,000
GB17=16,000
GB20=19,000
GB25=24,000
Gb30=27,000
Gb35=30,000
GB40=35,000
Gb45=38,000
*Gb60=50,000 *
[emoji336] 0618279799
0712776823
 
Whatever.
Afrikan county raia wake hawawezi kutumia hizo kitu hasirani.

Unlimited kwa raia gani sasa na kipato gani?.
Mkuu usilinganishe maisha yako ukachukulia watanzania wote wanaishi hivyo.

Hivi sasa unlimited kwa majumbani ziko nyingi tu kuanzia elfu 50 ya TTCL, elfu 69 ya Zuku mpaka laki na kumi kwa fiber au 5G box na watu wanalipa kila mwezi.

Tembea ujionee ingia mtandaoni tafuta maarifa na taarifa sahihi.
 
Mkuu ingia google, search ''list of IPTV providers'' utapata list ndefu. Soma website zao zote ili uchague gharama nafuu na yenye channels zinazokidhi mahitaji yako. Nyingine wanakupa mpaka offer ya kujaribu kwa masaa kadhaa kabla hujanunua.
Ahsante Mkuu, wacha nifuate huo ushauri.
 
Tv
Huduma hii daima inatumia bando ni teknolojia ya IPTV (Internet Protocal Television) kama nchi za wenzetu ulaya nyumba nzima huoni dish limetundikwa wanatumia hii teknolojia kwa sehemu kubwa
Mie TV langu la chogo
 
Sasa ulaya unataka kulinganisha na Afrika kweli?.

Hapa kwetu bundle la 5000/- unatumia siku moja na hiyo speed ya net sasa!!
Huko kwenye bando za kupimiana watu wameshaondoka kitambo, kama wewe bado unatumia mbado za kupimiwa hiyo huduma haikuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…