Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Vp mkuu service bado ipo? Nataka kutest kwanza specifically hizo za kibongo
 
Mimi wamepita na chaka langu, nahaha kutafuta link sasahiv🤣
Link ya kuexpire nii ile ya majaribio nayo kupa inadumu masaa 24 tu! Ukinunua ya mwezi hamna kuexpire mpaka tarehe husika.
 
Nimekucheck inbox
 
Hii itakuwa nzuri siku tukipata internet ya Elon Musk. Vinginevyo ni ghali kuliko uhalisia
 
IPTV 💥💥
PAUL VS TYSON
muda huu
Ambapo hamna kisimbuzi chochote unaweza ona mpambano huu zaidi kwenye IPTV katika simu yako samart au smartTv yako
 
Karibu sana!!...ila sasa kuna mabadiliko test kwasasa ni masaa 4 hapo badae itarejea test ya masaa 24
Nicheck inbox nikutumie,maana hapa kama mtu akiingiza hutapata
 
Nilitest fresh kabisa mkuu, channel nilizozikusudia zilienda fresh tu maana channel zinakuaga nyingi unafocus na unazozitaka

Hii ni review yangu
Azam sports zinafanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…