Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Shida ni IPTV zilizoko kwenye TV zetu. Zingine sio COMPATIBLE na link ya mshikaji. Na sijui kama hizi unaweza ku download zingine ukiacha zile zilizokuja na TV
 
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)

Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=

Hapo kuna

Live tv 23,000+

Movies 10,000+

Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k

Chaneli za D@STV 180+

C@nal Afrique 150+

Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)

Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=

Ni lazima udownload app hii ndio inayo tumika

Kisha utanicheck nikupe test link au 1 month subscription kwa Tsh.9,000/= tu

View attachment 3101572View attachment 3101573
Kuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
 
Jamaa aliniunganisha vizuri tu mara mbili mfululizo. Nilikuwa natumia kwenye pc nikiwa mbali na nyumban na nilipata fresh tu.Kikubwa internet ya kasi na stable tu
 
ulilipia shingap afu bado unatumia na MB zako au?!
 
Kuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
Kama mimi IPTV kwa sasa natumia zaidi ya miezi 5 ila sio mteja wa uyu jamaa ila anachosema kinaukweli coz utapewa test ili uone channels unazozipenda zinafanya kazi na kama hazifanyi kazi unachaanane ila ukiona zipo poa munafanya biashara ila inawafaa watu wa unlimited internet kwetu inapunguza gharama coz niwe na king'amuzi cha Dstv au Azam au niwe na vyote pia ninayo unlimited internet inakuwa gharama kubwa, ila nikilipia unlimited ambayo niwe na king'amuzi niwesiwe nacho nitanunua Hii huduma inanifaa ila kwa wale ambao kipato chao hawana uwezo wa kununua unlimited Hii huduma haiwafai coz kwa mechi moja kwa bango la kawaida 2Gb au 3GB kwa kasi ya internet na quality channel ya TV, kwaiyo mkuu hapo ndio uchague wewe kwa uwezo wako kutokana tumetafutiana matumizi na Kipato
 
Kuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
acha uoga kijana sio kila mtu tapeli ...mimi kwake nimetumia zaidi ya mara mbili ..mimi ni ulimited internet na enjoy kwa kweli...ila kama una internet ya kubangaiza wala usijisumbue
 
Eka unlimited internet kama matumizi yanafika 10K kwa siku,
Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
 
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)

Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=

Hapo kuna

Live tv 23,000+

Movies 10,000+

Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k

Chaneli za D@STV 180+

C@nal Afrique 150+

Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)

Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=

Ni lazima udownload app hii ndio inayo tumika

Kisha utanicheck nikupe test link au 1 month subscription kwa Tsh.9,000/= tu

View attachment 3101572View attachment 3101573
Hii n nzuri kwa wenye wi-fi unlimited
 
Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
Mkuu ni uhakika un limited, hii ni kwa simu, bado tv au PC.
Screenshot_20240916-150231_1.jpg
 
Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
ona hapa, hii ni simu tu mkuu, so huwa naenda hadi 250-300 kwa vifaa nilivyo navyo.

Nb, marafiki, Wana jobless pro max wenzagu.
Selikavu adriz
Screenshot_20240916-150204_1.jpg
 
Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
Kina Zuku ni Unlimited kweli, hizi za kina Airtel ni 500GB-1TB then wana drop speed, haikati ila utatumia kwa speed ndogo. Kama matumizi ni 30GB hata Airtel inakufaa unlimited yao.
 
Back
Top Bottom