Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Yeah mkuuAzam sports zinafanya kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mkuuAzam sports zinafanya kazi?
Azam sports zinafanya kazi?
Unatumia iptv gani?hizi azam binafsi zinanisumbua full kugandaganda,ila channel zingine ni fresh
Kuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejeshoBinafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone
Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za D@STV 180+
C@nal Afrique 150+
Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest
Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Ni lazima udownload app hii ndio inayo tumika
![]()
IPTV Smarters Pro APK for Android Download
IPTV Smarters Pro 4.0.3 APK download for Android. Free IPTV App - Designed for Android Phones, Android Boxes, Fire TV Sticks etc.www.google.com
Kisha utanicheck nikupe test link au 1 month subscription kwa Tsh.9,000/= tu
View attachment 3101572View attachment 3101573
Jamaa aliniunganisha vizuri tu mara mbili mfululizo. Nilikuwa natumia kwenye pc nikiwa mbali na nyumban na nilipata fresh tu.Kikubwa internet ya kasi na stable tuKuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
ulilipia shingap afu bado unatumia na MB zako au?!Jamaa aliniunganisha vizuri tu mara mbili mfululizo. Nilikuwa natumia kwenye pc nikiwa mbali na nyumban na nilipata fresh tu.Kikubwa internet ya kasi na stable tu
9000 bando ni juu yako , inawafaa wale wenye unlimited maana quality ya vidio ni kubwa mno hence more data consumedulilipia shingap afu bado unatumia na MB zako au?!
Kama mimi IPTV kwa sasa natumia zaidi ya miezi 5 ila sio mteja wa uyu jamaa ila anachosema kinaukweli coz utapewa test ili uone channels unazozipenda zinafanya kazi na kama hazifanyi kazi unachaanane ila ukiona zipo poa munafanya biashara ila inawafaa watu wa unlimited internet kwetu inapunguza gharama coz niwe na king'amuzi cha Dstv au Azam au niwe na vyote pia ninayo unlimited internet inakuwa gharama kubwa, ila nikilipia unlimited ambayo niwe na king'amuzi niwesiwe nacho nitanunua Hii huduma inanifaa ila kwa wale ambao kipato chao hawana uwezo wa kununua unlimited Hii huduma haiwafai coz kwa mechi moja kwa bango la kawaida 2Gb au 3GB kwa kasi ya internet na quality channel ya TV, kwaiyo mkuu hapo ndio uchague wewe kwa uwezo wako kutokana tumetafutiana matumizi na KipatoKuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
acha uoga kijana sio kila mtu tapeli ...mimi kwake nimetumia zaidi ya mara mbili ..mimi ni ulimited internet na enjoy kwa kweli...ila kama una internet ya kubangaiza wala usijisumbueKuna mtu anaenda kuumia hapa! ogopa matapeli mjini apa! nmemaliza atakaeunganishiwa akakaa siku 3 bas alete ushuhuda hapa! Tunasubiri mrejesho
Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..Eka unlimited internet kama matumizi yanafika 10K kwa siku,
Hii n nzuri kwa wenye wi-fi unlimitedBinafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone
Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za D@STV 180+
C@nal Afrique 150+
Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest
Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Ni lazima udownload app hii ndio inayo tumika
![]()
IPTV Smarters Pro APK for Android Download
IPTV Smarters Pro 4.0.3 APK download for Android. Free IPTV App - Designed for Android Phones, Android Boxes, Fire TV Sticks etc.www.google.com
Kisha utanicheck nikupe test link au 1 month subscription kwa Tsh.9,000/= tu
View attachment 3101572View attachment 3101573
Mkuu ni uhakika un limited, hii ni kwa simu, bado tv au PC.Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
ona hapa, hii ni simu tu mkuu, so huwa naenda hadi 250-300 kwa vifaa nilivyo navyo.Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
Kina Zuku ni Unlimited kweli, hizi za kina Airtel ni 500GB-1TB then wana drop speed, haikati ila utatumia kwa speed ndogo. Kama matumizi ni 30GB hata Airtel inakufaa unlimited yao.Hivi mkuu hii unlimited ni kweli wanamaanisha unlimited? Au ni wanakupa labda GB kadhaa kwa mwezi?..
Mfano labda nimelipa unlimited ya mwezi lkn matumizi yangu yanafika hadi GB 30 per day,je Nita survive kwa unlimited yao kwa mwezi au itafika cku 10 tu ikate?
Jobless kama joblessona hapa, hii ni simu tu mkuu, so huwa naenda hadi 250-300 kwa vifaa nilivyo navyo.
Nb, marafiki, Wana jobless pro max wenzagu.
Selikavu adriz
View attachment 3197984