Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Hi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi
Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira
Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?
Wa mkoani jau sana