Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

Hi

Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini

Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo

Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi

Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira

Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?

Wa mkoani jau sana
Wanaleta mambo ya kishamba na kiwaki kila sehemu ukipita nae anataka umpige picha imagine kuna huyo ndugu yangu yeye alitaka nimpige picha pale ikulu gogoni...
palepale nikamrudisha nyumbani..
 
KUNA JAMAA ALITOKA DAR KUJA CITY YAANI WATU WA DAR NI WASHAMBA SANA NA MALIMBUKENI ETI KILA SEHEMU ANAYOIONA ANATAKA KUINUNUA HATA HIFADHI ZA SERIKALI NIKAONA HAFAI HUYU MTU UNAKULA MIHOGO NA KACHUMBARI KAMA CHAI ALAFU UNAKUJA KUTAFUTA HEKA KWA LAKI TANO CBD
🤣🤣 huyo muigizaji
 
Wanaleta mambo ya kishamba na kiwaki kila sehemu ukipita nae anataka umpige picha imagine kuna huyo ndugu yangu yeye alitaka nimpige picha pale ikulu gogoni...
palepale nikamrudisha nyumbani..
Mh huyo ajielewi ase kila sehemu picha hatar
 
Kwahiyo huu uzi ni maalum kwa mtu anayeishi Dar kumcheka,kumsema,kumuona mshamba,mjinga na mengineyo mtu wa mkoani? (Anayeishi nje ya mji wa Dar)

Kifupi mnabaguana wenyewe kwa wenyewe,halafu mtu wa nje ya nchi,nje ya Tz akiwafanyia huo ubaguzi mnaofanyiana hapa wenyewe kwa wenyewe mnamuona ni mbaguzi!

Unakuta mtu kaenda Dar kujitafuta tu ila nae eti anamcheka asiyeishi Dar kwa muda huo!
So,mtu aliyepo nje ya Tz kama akiwasema wa Tz wote kama mnavyowasema wamikoani,mtaona nia sawa au mtamuita mbaguzi?

Mazingira husika ndio humshape mtu kua na tabia fulani,haiwezekani mikoa yote au nchi zote zikawa na tabia sawa,kila jamii ina tamaduni zake na tabia zake,hata mtu anayeishi mjini anaweza kwenda huko vijijini kisha nae kuna vitu atakua na ushamba navyo au atavishangaa pia,

Person's character is not fixed but is shaped by their environment circumstances and times they live in,
No one is good and no one is bad,everyone acts according to where they live and the time.
 
Hi

Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini

Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo

Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi

Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira

Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?

Wa mkoani jau sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom