Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sasa uyo aliamua kukumoa dar togwa una itoa wapi 🤣🤣Hataki juice, anataka togwa.
Maji ya dar haya jawai mkataa mtu bhna kaa siku mbili tu una rudi kwenye wasifu wakoAlikuwa ni mweusi sana kama mkaa majirani walidhani nimeopoa mzimu kuzimu, nashukuru sabuni na joto la Dsm alitakata baada ya wiki 2 tu, mabinti wa mwenye nyumba wakaanza kummezea mate nae bila kufikiri mara 2 akakamua, aliwajaza mimba wa2 kwa wakati mmoja ikabidi tukimbie mtaa tu maana mzee alipanga kumsweka zile 30 za Jiwe.
Mafurushi ana amia mazima 🤣Alikuwa amebeba mafurushi ya kutosha ikabidi tukodishe canter
Ni hatari sana unaweza fikiri kauchawi flani hivi.Maji ya dar haya jawai mkataa mtu bhna kaa siku mbili tu una rudi kwenye wasifu wako
Kaijulia dar au?Anapenda sana kumywa sharubati ya miwa mpaka anakela
Acha tu mwiliNi hatari sana unaweza fikiri kauchawi flani hivi.
Mafurushi ana amia mazima 🤣
Analewa kupitiliza mfukuzePombe pombe pombe pombe pombe pombe!
Huko baridi linakaushana siyo poa.Acha tu mwili
Una kuwa na nuru sasa nenda njombe uone unavyo pauka
Ulijuta ndio maana sikuiz watu hawaendi stend kumpokea mgeni ni simu tuAcha tu
Acha kabisaHuko baridi linakaushana siyo poa.
Ninacho ipendea Dsm ni hicho tu, siku nikienda mahome huko kwetu ulughalughani mabinti wote huwa wananiona malaika, ni kujipimia tu ulefu wa kamba yangu mkononi.Acha kabisa
Siyo kirahis hvoAnalewa kupitiliza mfukuze