The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Kwa hiyo mmeona haitoshi kutusema vibarazani mmeona mtufungulie na nyuzi, basi tusameheni hatuji tenaππHi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi
Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira
Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?
Wa mkoani jau sana
Ahah wnakuita mkaka wa darNinacho ipendea Dsm ni hicho tu, siku nikienda mahome huko kwetu ulughalughani mabinti wote huwa wananiona malaika, ni kujipimia tu ulefu wa kamba yangu mkononi.
Una vaa uso wa mbuzi ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni hivi sipendi pombe duhSiyo kirahis hvo
Hakuna jamSijui kwanini nikirudigi Dar nikaingia ndani.. kutoka ni siku ya kurudi mkoani.
Mkoani patamu bwana..
Punguzeni ujuaji π€£Kwa hiyo mmeona haitoshi kutusema vibarazani mmeona mtufungulie na nyuzi, basi tusameheni hatuji tenaππ
Ndugu/washkaji/marafiki ukienda nao hvo utakosana nao wote.Una vaa uso wa mbuzi ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni hivi sipendi pombe duh
Nishakosana nao juzi tu hapa j2 walikuja kunipitia twende sehemu wakawa wana yale mazoea nika foka mara tatu tu mpaka tumefika sehemu ya tukio wame kula uso wa mbuzi nikiwauliza hawajibu ila washa nizoeaNdugu/washkaji/marafiki ukienda nao hvo utakosana nao wote.
Sijui kwanini nikirudigi Dar nikaingia ndani.. kutoka ni siku ya kurudi mkoani.
Mkoani patamu bwana..
Wana shangaa hao ila dar pia ukikaa gongo la mboto unakuwa wa mkoaniMkoani jau
Usipime kivumbi huwa kinatimka hapo.Ahah wnakuita mkaka wa dar
Dar pesa ipo sana mkoani Jau sana mvua zikianzaWana shangaa hao ila dar pia ukikaa gongo la mboto unakuwa wa mkoani
Una kula mpak una kinaiUsipime kivumbi huwa kinatimka hapo.
Kweli ila unatakiwa uwe na akili timamu akili za mkoani ziache stend ukifika darDar pesa ipo sana mkoani Jau sana mvua zikianza
Tunang'aza macho mjombaPunguzeni ujuaji π€£
Sawa sawaTunang'aza macho mjomba
KUNA JAMAA ALITOKA DAR KUJA CITY YAANI WATU WA DAR NI WASHAMBA SANA NA MALIMBUKENI ETI KILA SEHEMU ANAYOIONA ANATAKA KUINUNUA HATA HIFADHI ZA SERIKALI NIKAONA HAFAI HUYU MTU UNAKULA MIHOGO NA KACHUMBARI KAMA CHAI ALAFU UNAKUJA KUTAFUTA HEKA KWA LAKI TANO CBDHi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi
Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira
Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?
Wa mkoani jau sana
Mgeni amegeuka Farukh Karimu kila siku anatuma ripoti mkoa ya kile kinachotokea mpaka chakulaHi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi
Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira
Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?
Wa mkoani jau sana
Mwanaume wa dar unazingua mwanetu!ππHi

Depends na mkoa πMkoani jau
Nitakuja kukutembelea one day.Sijui kwanini nikirudigi Dar nikaingia ndani.. kutoka ni siku ya kurudi mkoani.
Mkoani patamu bwana..