Wanaleta mambo ya kishamba na kiwaki kila sehemu ukipita nae anataka umpige picha imagine kuna huyo ndugu yangu yeye alitaka nimpige picha pale ikulu gogoni...Hi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi
Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira
Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?
Wa mkoani jau sana
🤣🤣 huyo muigizajiKUNA JAMAA ALITOKA DAR KUJA CITY YAANI WATU WA DAR NI WASHAMBA SANA NA MALIMBUKENI ETI KILA SEHEMU ANAYOIONA ANATAKA KUINUNUA HATA HIFADHI ZA SERIKALI NIKAONA HAFAI HUYU MTU UNAKULA MIHOGO NA KACHUMBARI KAMA CHAI ALAFU UNAKUJA KUTAFUTA HEKA KWA LAKI TANO CBD
Huyo amekuja kuwachola ni kufukuzaMgeni amegeuka Farukh Karimu kila siku anatuma ripoti mkoa ya kile kinachotokea mpaka chakula
Mh huyo ajielewi ase kila sehemu picha hatarWanaleta mambo ya kishamba na kiwaki kila sehemu ukipita nae anataka umpige picha imagine kuna huyo ndugu yangu yeye alitaka nimpige picha pale ikulu gogoni...
palepale nikamrudisha nyumbani..
Kama kitenesi 🤣 asionekane wa kujaWanabadilisha mwendo yaani mtu anaanza kudundadunda akifikiri ni ujanja.
Mimi huwaita Tumbili in town.
Cc BICHWA KOMWE -
Yeah, halafu usiku akirudi Getto anakuambia mapaja yanamuuma kumbe kisababishi ni kule kudundadunda atembeapo.Kama kitenesi 🤣 asionekane wa kuja
Jau sana hao wajuaji shidaYeah, halafu usiku akirudi Getto anakuambia mapaja yanamuuma kumbe kisababishi ni kule kudundadunda atembeapo.
Hii inakera sana aisee!
Wapuuzi kweli kweliJau sana hao wajuaji shida
😛😛😛 akili timamu au za kuvamia maeneo restricted unaweka biashara mnaanza kufukuzana na wagamboKweli ila unatakiwa uwe na akili timamu akili za mkoani ziache stend ukifika dar
Vyote sawa muhumu akili iwe active😛😛😛 akili timamu au za kuvamia maeneo restricted unaweka biashara mnaanza kufukuzana na wagambo
Kuna shidoNaona Wanaume wa dar wapo busy kuwasema wanaume wenzao.
Warmly welcome..Nitakuja kukutembelea one day.
😀Sasa uyo aliamua kukumoa dar togwa una itoa wapi 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hi
Wakazi wa dar ni changamoto
Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini
Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo
Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba nimtembeze sehemu za nguo tumefika kariako wale wanao uza simu ukipita si wanakuita kaka njoo nikuuzie simu sasa yeye kila anae muita ana enda dah ukimuelekeza mbishi
Tukafika eneo usika jeans ni kuanzia 18k kwa aina anazo taka sasa tume fika dukani wana mtajia bei ana kataa ana sema mna niibia mbona wale njee walio tandaza chini wanauza 10k duh nilimuacha pale pale kwa hasira
Je wewe ni changamoto ipi usha kutana nayo?
Wa mkoani jau sana
ChaiSijui kwanini nikirudigi Dar nikaingia ndani.. kutoka ni siku ya kurudi mkoani.
Mkoani patamu bwana..
Balance hiyo kiherehere 😹Chai