Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mshana uko right kabisa umepita mulemule. Huyo fundi maiko kibokoooo.Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila hatua kwa mafundi tofauti
Ukiachana na changamoto za kuongezewa gharama kwenye vifaa na gharama za ufundi ama kuibiwa kwa vifaa vilivyokwisha nunuliwa kuna hili la kuharibiwa kazi
Na kazi iliyoharibiwa ina changamoto kubwa zaidi za kurekebisha kuliko kazi mpya
Kuna mengi sana ya kuambiana hapa lakini machache makubwa ni haya
1. Usifanye malipo ya ardhi/kiwanja bila kujihakikishia umiliki wake, migogoro, mipaka nk
2. Usifanye malipo bila kujihakikishia serikalini ramani ya mipango miji
3. Usianze ujenzi bila kufanya ibada ya kutakasa ardhi.. Ukishindwa hapo basi ibada ya kuitakasa nyumba
4. Usianze ujenzi bila kujihakikishia sehemu salama ya kuweka vifaa vyote vitakavyohusika kwenye ujenzi
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
6. Piga kenchi ukiwa umejihakikishia uwepo wa mabati
7. Usifanye wiring kama hakuna mtu anayekaa hapo.. Utajuta
8. Usiiache nyumba tupu/peke yake unapoelekea kumaliza ujenzi wa awali
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa😂 hivyo jiandae
10. Jihadhari na majirani...😀🤔🙇🏿♂.... Wakati wa ujenzi na utakapohamia.. Kuna jirani anaweza kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui mkubwa utakapohamiaView attachment 3234061
Haina shida. Wekeza kabisa lipia na risiti kibindoni. We unachukua mzigo kidogo kidogoUnakuta upo mbali na unapojenga
Da sasa hii si hasara tu bora angebomoa aanze upya
Baki nanhela yako pale utakapo pata muda ndio ue delee na ujenzi
Hili nalo neno inabidi sometime uwe unachanganua mambo vizuriKujenga tunapenda ila unazika hela sana kama ni mfanya biashara usipokua makini unamaliza kujenga na biashara inachechemea unakuta let say ulikua unafanya biashara kkoo nyumba umepanga magomeni, umemaliza kujenga nyumba umeamia kibamba ndani ndani ofisi ipo palepale kkoo hapo ndio picha linapoanza.
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila hatua kwa mafundi tofauti
Ukiachana na changamoto za kuongezewa gharama kwenye vifaa na gharama za ufundi ama kuibiwa kwa vifaa vilivyokwisha nunuliwa kuna hili la kuharibiwa kazi
Na kazi iliyoharibiwa ina changamoto kubwa zaidi za kurekebisha kuliko kazi mpya
Kuna mengi sana ya kuambiana hapa lakini machache makubwa ni haya
1. Usifanye malipo ya ardhi/kiwanja bila kujihakikishia umiliki wake, migogoro, mipaka nk
2. Usifanye malipo bila kujihakikishia serikalini ramani ya mipango miji
3. Usianze ujenzi bila kufanya ibada ya kutakasa ardhi.. Ukishindwa hapo basi ibada ya kuitakasa nyumba
4. Usianze ujenzi bila kujihakikishia sehemu salama ya kuweka vifaa vyote vitakavyohusika kwenye ujenzi
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
6. Piga kenchi ukiwa umejihakikishia uwepo wa mabati
7. Usifanye wiring kama hakuna mtu anayekaa hapo.. Utajuta
8. Usiiache nyumba tupu/peke yake unapoelekea kumaliza ujenzi wa awali
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa😂 hivyo jiandae
10. Jihadhari na majirani...😀🤔🙇🏿♂.... Wakati wa ujenzi na utakapohamia.. Kuna jirani anaweza kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui mkubwa utakapohamiaView attachment 3234061
Hasa kupandisha bei ya vitu hii ni changamoto kubwa sana
Nenda mwenyewe dukani.
Kabisa mkuu udalali lazimaNgumu sana kuwakimbia hapo ,lazima akuingize kwenye 18 zake na ale cha juu ,ukienda kununua kwenye duka unaotaka wewe let say ukakuta bei labda elfu 15 atakwambia twende duka la mbele wanauza 14 ,ukienda tu kwenye hilo duka utakuta bei 14 na utanunua kwa kuona kuna unafuu wa buku ,kumbe hapo yeye ana jero lake hapo.