KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Lakini mpishi aliwi hapo hapo mezani baada ya kumaliza kula.....analiwa chumbani bhana.....๐๐๐Sasa msosi ukishakula raha yake umkule na mpishi ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mpishi aliwi hapo hapo mezani baada ya kumaliza kula.....analiwa chumbani bhana.....๐๐๐Sasa msosi ukishakula raha yake umkule na mpishi ๐
๐ฏJihadhari na majirani...๐๐ค๐๐ฟโโ.... Wakati wa ujenzi na utakapohamia.. Kuna jirani anaweza kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui mkubwa utakapohamia
Hapo mixer ya umeme mzeeKama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila hatua kwa mafundi tofauti
Ukiachana na changamoto za kuongezewa gharama kwenye vifaa na gharama za ufundi ama kuibiwa kwa vifaa vilivyokwisha nunuliwa kuna hili la kuharibiwa kazi
Na kazi iliyoharibiwa ina changamoto kubwa zaidi za kurekebisha kuliko kazi mpya
Kuna mengi sana ya kuambiana hapa lakini machache makubwa ni haya
1. Usifanye malipo ya ardhi/kiwanja bila kujihakikishia umiliki wake, migogoro, mipaka nk
2. Usifanye malipo bila kujihakikishia serikalini ramani ya mipango miji
3. Usianze ujenzi bila kufanya ibada ya kutakasa ardhi.. Ukishindwa hapo basi ibada ya kuitakasa nyumba
4. Usianze ujenzi bila kujihakikishia sehemu salama ya kuweka vifaa vyote vitakavyohusika kwenye ujenzi
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
6. Piga kenchi ukiwa umejihakikishia uwepo wa mabati
7. Usifanye wiring kama hakuna mtu anayekaa hapo.. Utajuta
8. Usiiache nyumba tupu/peke yake unapoelekea kumaliza ujenzi wa awali
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa๐ hivyo jiandae
10. Jihadhari na majirani...๐๐ค๐๐ฟโโ.... Wakati wa ujenzi na utakapohamia.. Kuna jirani anaweza kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui mkubwa utakapohamiaView attachment 3234061
Usikariri mzeya kiwa mgegedo minchumbani tuu...shauri yako utaachwa.Lakini mpishi aliwi hapo hapo mezani baada ya kumaliza kula.....analiwa chumbani bhana.....๐๐๐
View attachment 3235963
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
Noted mkuu10. Jihadhari na majirani...๐๐ค๐๐ฟโโ.... Wakati wa ujenzi na utakapohamia.. Kuna jirani anaweza kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui mkubwa utakapohamia
Duuuhh!!Usikariri mzeya kiwa mgegedo minchumbani tuu...shauri yako utaachwa.
Hawa kenge wanapenda kuinamishwa hapo hapo jikoni...
Ndio mzeya...hilo suala mie ndio mwenyewe yaani hawa kenge ninawajua ndani nje jinsi ya kuwapindua pindua wakiwa uchi wa mnyama
Nakupa nishani.....Ndio mzeya...hilo suala mie ndio mwenyewe yaani hawa kenge ninawajua ndani nje jinsi ya kuwapindua pindua wakiwa uchi wa mnyama
Namba 07,kuna mshkaji wezi wameiba waya zote za kwenye wiring ununioKama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila hatua kwa mafundi tofauti
Ukiachana na changamoto za kuongezewa gharama kwenye vifaa na gharama za ufundi ama kuibiwa kwa vifaa vilivyokwisha nunuliwa kuna hili la kuharibiwa kazi
Na kazi iliyoharibiwa ina changamoto kubwa zaidi za kurekebisha kuliko kazi mpya
Kuna mengi sana ya kuambiana hapa lakini machache makubwa ni haya
1. Usifanye malipo ya ardhi/kiwanja bila kujihakikishia umiliki wake, migogoro, mipaka nk
2. Usifanye malipo bila kujihakikishia serikalini ramani ya mipango miji
3. Usianze ujenzi bila kufanya ibada ya kutakasa ardhi.. Ukishindwa hapo basi ibada ya kuitakasa nyumba
4. Usianze ujenzi bila kujihakikishia sehemu salama ya kuweka vifaa vyote vitakavyohusika kwenye ujenzi
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
6. Piga kenchi ukiwa umejihakikishia uwepo wa mabati
7. Usifanye wiring kama hakuna mtu anayekaa hapo.. Utajuta
8. Usiiache nyumba tupu/peke yake unapoelekea kumaliza ujenzi wa awali
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa๐ hivyo jiandae
10. Jihadhari na majirani...๐๐ค๐๐ฟโโ.... Wakati wa ujenzi na utakapohamia.. Kuna jirani anaweza kuwa rafiki wakati wa ujenzi lakini akaja kuwa adui mkubwa utakapohamiaView attachment 3234061
No need...mie naburudisha nafsi yangu sihitaji nishani wala recognition yoyote ile. Its wat makes me ahppy to be alive...hiyo kwangu ndio raha ya kuwa binadamuNakupa nishani.....
Like where? Maana naona hapa jf kuna watasha mil 28 unatoa guest house kabisaMaeneo ya nje
Maeneo ya nje yq mji
Life well lived.....No need...mie naburudisha nafsi yangu sihitaji nishani wala recognition yoyote ile. Its wat makes me ahppy to be alive...hiyo kwangu ndio raha ya kuwa binadamu
IndeedLife well lived.....
Hatari hiiHahahaha cha nje kabisa
BILA SHAKA NI KAZI YA FUNDI MAIKO HII
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ฅดAnayehitaji nyumba yake kusimamiwa ujenzi nipo hapa jamani sina kazi ila abc za ujenzi ninazo
Vipi teacher huna ujenzi wowote?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ฅด
Nimeishia uwanja tu๐คฆVipi teacher huna ujenzi wowote?
Kumbe tupo wengi....kila mwaka nasafishabkiwanja ila kujenga najenga kwenye mbususu za waremboNimeishia uwanja tu๐คฆ