Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

Duuuuuh huyo fundi ni wa kumpiga makofi tu.
1739389506275.jpg
 
Ngumu sana kuwakimbia hapo ,lazima akuingize kwenye 18 zake na ale cha juu ,ukienda kununua kwenye duka unaotaka wewe let say ukakuta bei labda elfu 15 atakwambia twende duka la mbele wanauza 14 ,ukienda tu kwenye hilo duka utakuta bei 14 na utanunua kwa kuona kuna unafuu wa buku ,kumbe hapo yeye ana jero lake hapo.
Akikupeleka maduka ya buza wewe nenda ya Mbagala😂
 
Kusimamisha boma wala sio gharama sana kama kupaua na finishing zingine hasa ndani noma sana

Unatakiwa uwe na fundi mmoja mwaminifu sana
Mimi nilimtumia bro mmoja fundi wa siku nyingi sana umri umeenda now yeye anachukua kazi then anasupervise vijana wanapiga kazi , hakika sikujutia kabisa
 
Kupaua patamu sana maana uwe na mbaonna bati kwa wakati mmoja.
Finishing uzuri unaweza enda chumba kwa chumba
 
Hiyo no 2 hapo ufate hatua zipi kujua ramani ya mipango miji na unaipatia wapi?
 
Sio tu ujenzi hata MADAKTARI uchwara wanaua sana watu.....

Kumradhi ndugu yangu kwa kutoka kidogo nje ya mada.....nimevurugwa
 
Back
Top Bottom