Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

Anayehitaji nyumba yake kusimamiwa ujenzi nipo hapa jamani sina kazi ila abc za ujenzi ninazo
Je njia gani nzuri y malipo kwa fundi kujenga kwa Day au kwa tofali?
1.Day bei gani?
2.Tofali bei gani?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mkuu, unapoanza ujenzi jitoe hasa kusimamia mwenyewe, usitume mtu kusimamia kwa niaba yako, hata mkeo hapana maana kuna ujanja mwingi sana wa wizi na upotoshaji wa manunuzi.
Ukimuweka msimamizi ,mafundi watamtuma kwenda dukani kununua maji huku wao wakijifanya wapo busy ,ukitoka tu mifuko ya cement inafaulishwa au inafukiwa kwenye mchanga.
 
Siku hizi siingii sana JF, kwa sababu ya majukumu. Ila hii nimekutana nayo mida hii imenilipua kicheko, yaani fundi kaweka mtego wa umeme kwenye chanzo cha maji...🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…