Changamoto nazopitia kwenye ndoa

Changamoto nazopitia kwenye ndoa

bulajunior

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
302
Reaction score
434
Habari za leo wakuu,

Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.

Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo yote haya nilishamwambia hadi nikachoka na akikosea hajui kusema samahani! anakaa kimya tu na akiongea anaropoka kuzidi kukupa hasira zaidi anapenda kuwaaminisha watu kuwa mimi mkorofi namwonea!

Kifupi wakuu nimechoka sina upendo nae hata robo
 
Hiyo ni sifa kuu ya wanawake wengi akikosea yeye huwa anatafuta sababu ya kujisafisha aonekane mwema na mtiifu Kwa watu
 
Mimi kwanza sipendi mambo yangu yapelekwe mbele za watu eti tushauriwe na nilishamwambia tukikosana alokosa awahi kuzima Moto wa hasira kwa mwenzie hakuna kukuza jambo! mbishi kweli Mimi nimejaliwa kupiga shule kidogo kuna muda naweka mipango yangu ili family yangu iwe na nguvu kuanzia kichwani Hadi uchumi ikiwezekana ndio maana napambana kuleta hata vyakula kwa ajiri ya mtoto na Sisi kiujumla vile ambavo vinasapoti maisha yetu sio vile vya kukalili km vile ugali ubwabwa yeye sasa Hana habari navyo hata mtoto hapewi yaani ushirikiano hafifu! Siku moja akanipa wazo mume wangu tuanza kuweka akiba yeye akasema kila mtu awe anatoa kiasi fulani cha pesa mimi nikasema wazi zuri basi Mimi nitakuwa natoa mara mbili ili mfuko uwe mkubwa basi pesa akawa anashika yeye siku moja kanitibua vibaya hafu Yuko kimya kila nikisema yupo kimya nikakukumbuka alinishirikisha suala la akiba kuweka nikamwambia anipe tu hela yangu hamna umoja maana haniheashimu cha ajabu kumbe hela katuma kwao siku hiyo hiyo
 
Kiukwel mambo ya ndoa yanaumiza sna Kwa baadhi ya mahusiano ila haifanyi kuwa mtu wa kukata tamaa
 
Habari za leo wakuu,

Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.

Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo yote haya nilishamwambia hadi nikachoka na akikosea hajui kusema samahani! anakaa kimya tu na akiongea anaropoka kuzidi kukupa hasira zaidi anapenda kuwaaminisha watu kuwa mimi mkorofi namwonea!

Kifupi wakuu nimechoka sina upendo nae hata robo

Wanamla, ingawa unaweza usiamini
 
Zipo namna karibu kilingeni
 
Back
Top Bottom