JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Wanawake wengi siku hizi ni pasua kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakat wa uchumba ilikuaje?Habari za leo wakuu,
Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.
Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo yote haya nilishamwambia hadi nikachoka na akikosea hajui kusema samahani! anakaa kimya tu na akiongea anaropoka kuzidi kukupa hasira zaidi anapenda kuwaaminisha watu kuwa mimi mkorofi namwonea!
Kifupi wakuu nimechoka sina upendo nae hata robo
Ulichaguliwa mke?nimechoka
hapo sasa, anachokaje katoto kamojaUlichaguliwa mke?
Apambane tu na mke wake. Amuombee tu.Dipresheni tayari
Huo ni uzembe.hapo sasa, anachokaje katoto kamoja
Ndio chaguo lake hiloApambane tu na mke wake. Amuombee tu.
kabisaHuo ni uzembe.
Kabisa. Aache uzembe, apambane nalo tu.Ndio chaguo lake hilo
mtoto wangu anasoma hawezi kwenda nae afu pia hata dogo hamkubali mother wake maana uwa anamchokoza dogo analia na kuna wkt dogo anapigwa kwa hasira ya kumkubusha mama yake km kuna jambo nilimwambia mama afanye dogo anakumbuka Sana hata vyakula akimpa tofauti anasema baba alisema unipe chakula fulani basi anapigwa hii nilishudia mwnyw Niko bafuni hakuniona wakati nafikaMpe likizo akasalimie nyumbani, angalau akakae miezi 2 kwanza.
Dipresheni je?Kabisa. Aache uzembe, apambane nalo tu.
Mpaka hapa wewe ndio mwenye tatizo mkuu, wewe unamuagizaje mama mtu ampe mtoto chakula gani? ina maana mama hajui chakula cha mwanae?mtoto wangu anasoma hawezi kwenda nae afu pia hata dogo hamkubali mother wake maana uwa anamchokoza dogo analia na kuna wkt dogo anapigwa kwa hasira ya kumkubusha mama yake km kuna jambo nilimwambia mama afanye dogo anakumbuka Sana hata vyakula akimpa tofauti anasema baba alisema unipe chakula fulani basi anapigwa hii nilishudia mwnyw Niko bafuni hakuniona wakati nafika
Enzi zile mnajificha kwenye mageto hadi anatoroka nyumbani mambo yalikuwaje?Habari za leo wakuu,
Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.
Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo yote haya nilishamwambia hadi nikachoka na akikosea hajui kusema samahani! anakaa kimya tu na akiongea anaropoka kuzidi kukupa hasira zaidi anapenda kuwaaminisha watu kuwa mimi mkorofi namwonea!
Kifupi wakuu nimechoka sina upendo nae hata robo
Hehehehehuyu yupo ivi toka muda Mkuu hasemi samahani utamuua afu eti msabato ikimwona kanisani mnyenyekevu hatari jamani muongo huyu madam htr
Wewe ni kama mimiHabari za leo wakuu,