Changamoto nazopitia kwenye ndoa

Changamoto nazopitia kwenye ndoa

kaka kwenye kipengele cha mtoto sio rahisi kukaa nae mbali nampenda sana kijana wangu nayeye ananikubali kinoma nisipokuwepo dogo Hana utulivu hata mimi sikaagi poa kabisa bila kumwona dogo
Vumilia tu kubali kuendelea kuumizwa ili mlee mtoto wenu. 😂🤣😅😄😅

Alisikika mshauri nasaha mmoja akinena
 
Habari za leo wakuu,

Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.

Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo yote haya nilishamwambia hadi nikachoka na akikosea hajui kusema samahani! anakaa kimya tu na akiongea anaropoka kuzidi kukupa hasira zaidi anapenda kuwaaminisha watu kuwa mimi mkorofi namwonea!

Kifupi wakuu nimechoka sina upendo nae hata robo
 
Mimi kwanza sipendi mambo yangu yapelekwe mbele za watu eti tushauriwe
Watu ndo sisi umeshatuletea tunakushauri.

Ushauri:
Mkeo kama si mwanga/mchawi, kama si malaya na mwenye tamaa ya pesa mvumilie huku ukiomba na yeye asikuchoke na mabaya yako, baada ya miaka 8 fanya tasmini kama kweli humtaki mkeo.
 
kaka kwenye kipengele cha mtoto sio rahisi kukaa nae mbali nampenda sana kijana wangu nayeye ananikubali kinoma nisipokuwepo dogo Hana utulivu hata mimi sikaagi poa kabisa bila kumwona dogo

Ngoja Ufe na stress utajifunza kukaa naye mbali ukiwa kaburini pumbavu!
 
Mimi kwanza sipendi mambo yangu yapelekwe mbele za watu eti tushauriwe na nilishamwambia tukikosana alokosa awahi kuzima Moto wa hasira kwa mwenzie hakuna kukuza jambo! mbishi kweli Mimi nimejaliwa kupiga shule kidogo kuna muda naweka mipango yangu ili family yangu iwe na nguvu kuanzia kichwani Hadi uchumi ikiwezekana ndio maana napambana kuleta hata vyakula kwa ajiri ya mtoto na Sisi kiujumla vile ambavo vinasapoti maisha yetu sio vile vya kukalili km vile ugali ubwabwa yeye sasa Hana habari navyo hata mtoto hapewi yaani ushirikiano hafifu! Siku moja akanipa wazo mume wangu tuanza kuweka akiba yeye akasema kila mtu awe anatoa kiasi fulani cha pesa mimi nikasema wazi zuri basi Mimi nitakuwa natoa mara mbili ili mfuko uwe mkubwa basi pesa akawa anashika yeye siku moja kanitibua vibaya hafu Yuko kimya kila nikisema yupo kimya nikakukumbuka alinishirikisha suala la akiba kuweka nikamwambia anipe tu hela yangu hamna umoja maana haniheashimu cha ajabu kumbe hela katuma kwao siku hiyo hiyo
Hata wewe una matatizo pia
 
Utoto bn aya
 
Back
Top Bottom