Changamoto nazopitia kwenye ndoa

wakat wa uchumba ilikuaje?
 
Nashangaa mtu akisema eti siwezi au sitaki kumuacha kwa sababu ya mtoto kwahiyo ukipata ajali leo ukafa mtoto unaenda nae kaburini? Mtoto ataishi na atakuwa tu.
Piga chini lala mbele endelea na maisha yako.
 
Mwanaume unalalamika? Fanya uamuzi, piga chini haraka sana huyo mwanamke, kulea mtoto sio sbb ya wewe kuendelea kuishi nae kama huna upendo na huyo mwanamke, piga chini wanaume ni watu wa maamuzi haraka sana, piga chiniiii alafu vuta K mpya alafu tulia kula maisha, acha kuwa laini laini.
 
Mpe likizo akasalimie nyumbani, angalau akakae miezi 2 kwanza.
mtoto wangu anasoma hawezi kwenda nae afu pia hata dogo hamkubali mother wake maana uwa anamchokoza dogo analia na kuna wkt dogo anapigwa kwa hasira ya kumkubusha mama yake km kuna jambo nilimwambia mama afanye dogo anakumbuka Sana hata vyakula akimpa tofauti anasema baba alisema unipe chakula fulani basi anapigwa hii nilishudia mwnyw Niko bafuni hakuniona wakati nafika
 
Mpaka hapa wewe ndio mwenye tatizo mkuu, wewe unamuagizaje mama mtu ampe mtoto chakula gani? ina maana mama hajui chakula cha mwanae?

unasema mtoto hampendi mama yake, inawezekanaje hii na wewe haukai na huyo mtoto kwa asimilia zote kutokana na mihangaiko ya maisha? mtoto mdogo anawezaje kumchukia mama yake?
 
Enzi zile mnajificha kwenye mageto hadi anatoroka nyumbani mambo yalikuwaje?
 
Wewe ni kama mimi
 
achaneni kwa wema mtoto asikufanye uishi ukijutia maisha yako yote, vinginevyo kwa kuendelea kuishi naye kwa sababu ya mapenzi kwa mtoto itakuwa ni sawa na kukalia makaa yenye moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…