Changamoto nazopitia kwenye ndoa

Hata me nimeliona hili,yeye ndoanaonekana kuwa chanzo
 
Wewe sema huna ubavu wa kumuacha usisingizie mtoto. Na usipoangalia mwaka ujao mtakaribisha kababy kengine
 
Ulizaliwa na ndoa mkuu 🤣🤣
 
achaneni kwa wema mtoto asikufanye uishi ukijutia maisha yako yote, vinginevyo kwa kuendelea kuishi naye kwa sababu ya mapenzi kwa mtoto itakuwa ni sawa na kukalia makaa yenye moto.
Tunateketea huku na jua kali
 
kaka kwenye kipengele cha mtoto sio rahisi kukaa nae mbali nampenda sana kijana wangu nayeye ananikubali kinoma nisipokuwepo dogo Hana utulivu hata mimi sikaagi poa kabisa bila kumwona dogo
Ana miezi au miaka mingapi?
 
huyu yupo ivi toka muda Mkuu hasemi samahani utamuua afu eti msabato ikimwona kanisani mnyenyekevu hatari jamani muongo huyu madam htr
Wasabato wengi wana kaujeuri flani.
Nadhani misimamo ya mafundisho ya imani yao inawatia upumbavu japo siyo wote
 
Nashangaa mtu akisema eti siwezi au sitaki kumuacha kwa sababu ya mtoto kwahiyo ukipata ajali leo ukafa mtoto unaenda nae kaburini? Mtoto ataishi na atakuwa tu.
Piga chini lala mbele endelea na maisha yako.
Acha ujinga basi, sa si mpaka apate hiyo ajali sasa hajapata ndio kusema asimpende mwanae kisa tu akipata ajali hatakuwa nae? Eboh
 
Mtoto ni wa mama siku zote, kama mkeo hakupi furaha unayoitaka mwenye maamuzi ni wewe, kama inawezekana mjulishe una mpango wa kuachana naye.
 
kaka kwenye kipengele cha mtoto sio rahisi kukaa nae mbali nampenda sana kijana wangu nayeye ananikubali kinoma nisipokuwepo dogo Hana utulivu hata mimi sikaagi poa kabisa bila kumwona dogo
Hapo lazima upoteze kimoja ili kupata kimoja.
Either uvumilie mauzi ya mkeo upate magonjwa ya moyo au shida ya afya ya akili kwa ajili ya mtoto ambae ni wko akiwa Bado mdogo wakishakuwa mama ndie atakaepewa kipaumbele.
Au uokoe afya yko kwa kuwa na amani kwa kukaa mbali na huyo mwanamke but mtoto atakosa upendo wako.
Kumbuka wanawake wengine ni maajent wa kuchukua uhai wako.
Uamuzi ni wako
 
hiyo ndoa mlifungia wapi?
 
Kaka yangu, inaonekana umefika mwisho wa uvumilivu katika uhusiano huu, na ni jambo la kawaida kuhisi kuchoka ikiwa huelewani na mwenza wako.

Kitu cha kwanza ni kujiuliza, unataka nini hasa? Kama huna tena hisia wala upendo kwake, ni bora kuzungumza naye kwa uwazi na kwa heshima. Usikubali kuendelea kuishi kwenye hali inayokuchosha kihisia, lakini pia usifanye maamuzi kwa hasira.

Kuhusu mtoto wako, ni vizuri kwamba bado unampenda na unataka kuwa sehemu ya maisha yake. Hii ni muhimu, maana haijalishi uhusiano wako na mama yake ukoje, mtoto bado anahitaji uwepo wako.

Pia, jaribu kuelewa kwanini mwenza wako anafanya mambo yanayokuvunja moyo. Inawezekana ni mawasiliano mabaya au mnavutana kwa sababu ya tofauti zenu. Ikiwa kuna nafasi ya kuzungumza kwa utulivu na kuelewana, basi jaribu. Lakini kama umefika mwisho kabisa na unahisi hakuna suluhisho, basi tafuta njia ya kutoka kwenye uhusiano huu kwa amani na heshima, hasa kwa ajili ya mtoto wenu.

Usifanye maamuzi kwa hasira, tafakari vizuri. Pia, usiruhusu hali hii ikufanye uchukie au upoteze heshima kwa mzazi mwenzako. Chochote utakachofanya, hakikisha kinakuwa na faida kwa mtot
o wako.
 
Hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…