AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza.
Changamoto nyingine... Ni anajisaga meno anajitafuta hasa akiwa macho... Mpaka namuonea huruma taya zake.
Kulikoni hapa wazoefu?
Changamoto nyingine... Ni anajisaga meno anajitafuta hasa akiwa macho... Mpaka namuonea huruma taya zake.
Kulikoni hapa wazoefu?