Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Picha fake machine iko real
Kinachokusumbua hapo nin si unapiga ukiwa umefumba macho shida iko wap
Shida ipo, hisia huwa zinapotea kabisa kama sio kujilazimisha beyond the limit. Ujasiri wa kufumba macho pia unapotea kwa mtu ambae ndo mara ya kwanza mnakutana.

Unaporatajia kuona/kupata kitu fulani halafu ukakikosa huwa unavunjika moyo.
 
Mimi niliwahi kutongoza fb kwa mara ya kwanza dem sikumuelewa kiviile.
Jambo lilianza February hii ya majuzi wazee ,kama kawaida mafisi walivyo nikazama gallery kwa mtoto kuchek picha zake ili nijiridhishe ah hazikuwa na mvuto infact dem nilimuona low class,nakuja kwenye chart sasa hapo ndo alinipa Mood ya kukutana nae baada ya kuniambia kwao Mikocheni namimi Mbezi nikaona wa karibu huuuyooo bear in mind "out of sight out of mind".
Kwenye mazungumzo ya hapa na pale tunapanga appointment sasa.....the process took about 2months almost. Finally ni jaana hii wadau jana hii mbichi Pisi inatimba maskani ebwanae sikuamini macho yangu mpaka ilibidi nijishtukie pale nilipo kuhisi labda manzi angeni underrate since alikuwa pini kishenzi, mdogo mdogo,curves imesimama daaah mwanaume ilinibidi ni extend budget bila kujishauri mara mbili mbili.
The Good news is the lady loves me so much and she appreciate the way natural I look from the photos to the really life.
I probably gonna let you know what will happen huko mbele kama ni ndoa au ndoano.
 
Hivi tinder wanalipia?
 
Hivi tinder wanalipia?
 

Hahah jamani si video call zipo kuhusu picha ya mtu

Kuhusu urefu hilo ni tatizo halipingiki huwezi kujua mpaka mkutane
Changamoto za online dating ni zilezile kama za offline

I met my man hapahapa jf after 3 years of chatting,whatsap calls na skype kwanza nilikuwa natuma pics zangu halisi enzi hizo hata kuedit picha sio sana na mimi sio photogenic kawaida tu but tulivyoonana kijana akanielewa he admitted pictures don’t do me justice lol,lakini urefu sasa nilikuwa mrefu sana kuliko alivyotarajia ,I still remember alisimama akajipima urefu bahati alinipita kidogo sana

Changamoto zilizopo ni kawaida kama za mahusiano nje ya mtandao kuhusu appearance sijui hio ni maamuzi ya mtu binafsi tabia ya mtu husaidia sana kmuficha hata mapungufu machache ya physical appearance meaning kama mpo serious na mmeshachat kwa muda mmejuana kidogo appearance is not a big deal

Pole kwa kigazeti
 
Haha eti kigazeti. Fanya mpango nikuone lavu na mimi [emoji4][emoji4]
 

🤣🤣🤣🤣🤣duh usikufuru uumbaji we dada
 

Kama nilivyosema sisi ambao sio maphotogenic msituchukulie poa lol [emoji23] sasa ungekosa mtoto kwa kudharau
Ps😱nline dating ni kama kamali
 
Nilikutana na chombo wakati huo nikiwa kijana pichani mtu wa maana. Tulipoonana, demu ni mfupi ingawa si sana na mnene. Yaani alivaa shanga lakini pale kiunoni akilala chali hqzionekani sababu ya minyama uzembe.

Sura ni yenyewe ila umbo dah. Mi napenda wanawake warefu wembamba. Mbaya zaidi ananuka mdomo. Nilimla kwa tabu asubuhi huyooo ndukii.
 
Kwan mtaani mademu wameisha wanaume akili zenu zipo chini

Hahahha poleni kwa hasara mnayopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…