Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate

Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga.

Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda.

Kimsingi wyf naye ni mnene kiasi, so plus na unene wangu ni changamoto kubwa sana. Inafika wakati unaomba, usiku usije ukihofia zile mikiki mikiki.
 
Kama mwanaume,ambaye numnene,naumia mno,ila ndiyo ali yangu na siwwzi ikwepa.badala yake naweza i mitigate

Changamoto nazokutana nazo faraga ni hizi,
Kushindwa baadhi yastahili km vile chuma mboga

Kushindwa,kuwa mwepesi na hii kupelekea,wyf kuendesha,yeye kila muda

Kimsingi wyf naye nimnene kiasi,so plus naunene wangu ni changamoto kubwa sana
Inafika wakati unaomba,usiku usije ukiofia zile mikiki mikiki
How old are you sir!!!?.
 
Unakuta dume lina kitambi kama FURUSHI LA MAGIMBI anabehua tu muda wote. Chefuuu!!

Mmezidi ulaku sana, kila kitu mnakula kama nguruwe...... kubugia machips nyinyi, kitimoto nyinyi, bia za kudoea nyinyi, maugali nyinyi, mawali nyinyi, mapera nyinyi, supu za alfajiri nyinyi.... khaaaa WE HUOGOPI?

Kadiri tumbo linavyozidi kuvimba ndivyo kibamia kinavyozidi kuzama ndichi, WE HUOGOPI?

Cc: Lamomy Extrovert Mbaga Jr Kapeace mshamba_hachekwi dronedrake Maghayo
 
Unakuta dume lina kitambi kama FURUSHI LA MAGIMBI anabehua tu muda wote. Chefuuu!!

Mmezidi ulaku sana, kila kitu mnakula kama nguruwe...... kubugia machips nyinyi, kitimoto nyinyi, bia za kudoea nyinyi, maugali nyinyi, mawali nyinyi, mapera nyinyi, supu ya alfajiri nyinyi.... khaaaa WE HUOGOPI?

Kadiri tumbo linavyozidi kuvimba ndivyo kibamia kinavyozidi kuzama ndichi, WE HUOGOPI?

Cc: Lamomy Extrovert Mbaga Jr Kapeace mshamba_hachekwi
Una uhakika au unatusingizia tu?.
 
Unakuta dume lina kitambi kama FURUSHI LA MAGIMBI anabehua tu muda wote. Chefuuu!!

Mmezidi ulaku sana, kila kitu mnakula kama nguruwe...... kubugia machips nyinyi, kitimoto nyinyi, bia za kudoea nyinyi, maugali nyinyi, mawali nyinyi, mapera nyinyi, supu za alfajiri nyinyi.... khaaaa WE HUOGOPI?

Kadiri tumbo linavyozidi kuvimba ndivyo kibamia kinavyozidi kuzama ndichi, WE HUOGOPI?

Cc: Lamomy Extrovert Mbaga Jr Kapeace mshamba_hachekwi
Umejuaje nina kibamia? Sina kibamia
 
Kama mwanaume,ambaye numnene,naumia mno,ila ndiyo ali yangu na siwwzi ikwepa.badala yake naweza i mitigate

Changamoto nazokutana nazo faraga ni hizi,
Kushindwa baadhi yastahili km vile chuma mboga

Kushindwa,kuwa mwepesi na hii kupelekea,wyf kuendesha,yeye kila muda

Kimsingi wyf naye nimnene kiasi,so plus naunene wangu ni changamoto kubwa sana
Inafika wakati unaomba,usiku usije ukiofia zile mikiki mikiki
Tafuta namna upunguze uzito. Hapa hutapata msaada
 
Back
Top Bottom