uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate
Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga.
Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda.
Kimsingi wyf naye ni mnene kiasi, so plus na unene wangu ni changamoto kubwa sana. Inafika wakati unaomba, usiku usije ukihofia zile mikiki mikiki.
Ungekuwa unene ni ugonjwa nibgekufariji, unene ni choice, unaweza kujitahidi!