Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

Mnachotakiwa kufanya, ni kutemka kitandani, mambo yote yafanyike nje ya kitanda, Aina wengine huita mchuma mboga.
.Mtindo huu utakuwezesha kuifikia vizuri maana inakimbilia nyuma.
😁😁😁
 
Unakuta dume lina kitambi kama FURUSHI LA MAGIMBI anabehua tu muda wote. Chefuuu!!

Mmezidi ulaku sana, kila kitu mnakula kama nguruwe...... kubugia machips nyinyi, kitimoto nyinyi, bia za kudoea nyinyi, maugali nyinyi, mawali nyinyi, mapera nyinyi, supu za alfajiri nyinyi.... khaaaa WE HUOGOPI?

Kadiri tumbo linavyozidi kuvimba ndivyo kibamia kinavyozidi kuzama ndichi, WE HUOGOPI?

Cc: Lamomy Extrovert Mbaga Jr Kapeace mshamba_hachekwi dronedrake Maghayo
😂 tuacheni na vitambi vyetu
 
Kula vizuri asubuhi na mchana, usiku usile kabisa. Fanya hivyo iwe ndio tabia yako. Utashangaa utakavyoshuka kilo. Nimeshed 5kg kwa kufanya hivyo tu ndani ya miezi miwili-mitatu..

Ila mbona unaweza kuwa kibonge na ukawa mwepesi tu.
 
Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate

Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga.

Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda.

Kimsingi wyf naye ni mnene kiasi, so plus na unene wangu ni changamoto kubwa sana. Inafika wakati unaomba, usiku usije ukihofia zile mikiki mikiki.
nina mwaka wa nne sijawah kuiona mboo yangu
 
Back
Top Bottom