covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Mwanaume lijali unaomba usiku usiingie jamanii..Kama mwanaume,ambaye numnene,naumia mno,ila ndiyo ali yangu na siwwzi ikwepa.badala yake naweza i mitigate
Changamoto nazokutana nazo faraga ni hizi,
Kushindwa baadhi yastahili km vile chuma mboga
Kushindwa,kuwa mwepesi na hii kupelekea,wyf kuendesha,yeye kila muda
Kimsingi wyf naye nimnene kiasi,so plus naunene wangu ni changamoto kubwa sana
Inafika wakati unaomba,usiku usije ukiofia zile mikiki mikiki