Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate

Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga.

Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda.

Kimsingi wyf naye ni mnene kiasi, so plus na unene wangu ni changamoto kubwa sana. Inafika wakati unaomba, usiku usije ukihofia zile mikiki mikiki.
 
How old are you sir!!!?.
 
Unakuta dume lina kitambi kama FURUSHI LA MAGIMBI anabehua tu muda wote. Chefuuu!!

Mmezidi ulaku sana, kila kitu mnakula kama nguruwe...... kubugia machips nyinyi, kitimoto nyinyi, bia za kudoea nyinyi, maugali nyinyi, mawali nyinyi, mapera nyinyi, supu za alfajiri nyinyi.... khaaaa WE HUOGOPI?

Kadiri tumbo linavyozidi kuvimba ndivyo kibamia kinavyozidi kuzama ndichi, WE HUOGOPI?

Cc: Lamomy Extrovert Mbaga Jr Kapeace mshamba_hachekwi dronedrake Maghayo
 
Una uhakika au unatusingizia tu?.
 
Umejuaje nina kibamia? Sina kibamia
 
Tafuta namna upunguze uzito. Hapa hutapata msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…