Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

Mwanaume lijali unaomba usiku usiingie jamanii..
 
Shuwaini utagongewa sana
 
Usiogope!

Kitambi sio manyama uzembe ya nje bali utumbo mpana kujaa kinyesi plus mafuta mengi kule ndani!

Sasa amka asubuhi mapema kunywa chai ya moto ya rangi isiyo na sukari kama vikombe viwili,mwambie wife akuchemshie hiyo chai usiku uanze kuinywa usiku huo baada ya kula na asubuhi kabla ya kula chochote kunywa vikombe viwili au vitatu,utaenda chooni na kushusha mzigo wa maana!!

Usile breakfast Hadi saa nne au tano ukizoea kula lunch TU na dina!!

Utazoea na njaa itakata kabisa asubuhi!

Baada ya mwezi utapungua na show itabadilika tangy siku ya kwanza ya zoezi!!

Hata mchana baada ya lunch unaweza shushia na chai hiyo isiyo na sukari!!?

Kwanini!!?chai inaongeza mmengenyo wa chakula ndio Maana wachina,wahindi,hata waturuki hunywa kabla na baada msosi na hii inawasaidia kumntain weight!!au kushusha kabisa!!

Ukihisi kiu kunywa mahi lakini sio ya baridi sana!

Sukari sio ya ku entatain sana kwenye milo!
 
Tatizo lenu nyie ni wala ovyo
Tatizo lenu hata kula mnafukia fukia bila moangilio
 
Ila watu mna kauli za ajabu sana 🀣🀣🀣🀣🀣
Kuna watu na vitambi vyao vikubwa ukiwapa mchanganyiko wa alovera iliyolowekwa kwenye maji na kuwa chungu sana!wataharisha masaa hata matatu na kitambi kitaisha na kuwa flat screen!

Vitambi vingi ni indigestion iliyosababishwa na mfumo duni wa mmengenyo wa chakula plus stool ya uchafu kwenye rectum!!
 
Aaaah apo sawa lakini alovera haipatikani sehemu nyingi kwanini asichukue sabuni ya kipande ailoweshe kwenye maji ikiyeyuka anywe aendeshe mpaka mzigo uusge tumboni
 
Ukiwa mnene baadhi ya shughuli ni adhabu.

Fanya mazoezi uwe na mwili wa wastani.
 
Kuleni chuma hichoo ***** zenu japo wanaume hatusemani ila nyie mmezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…