Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

Wewe ni mwanaume au Mwanamke?
 
Watu wanene wakilala usingizi wanakoroma utadhani wanakata roho.
Wake zao wana taabu sana.
Unene ni kupenda kula kula tu.

Kwenye kambi za wakimbizi hakuna mtu mnene.
Sababu ya kukosa kula kula
Wakimbizi wanakonda kwa mengi.....Mtu yuko Uimbizini lakini hapo hapo kwenye kambi anazaa watoto hadi 9. Chakula cha msaada hadi chumvi.
 
Chuma mboga? Like serious???

Wewe ndo unatakiwa kuchuma mboga au mkeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…