Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

mbona kuna mijadala mbalimbali kuhusu hili na haiunganishwi is better nikala bann but nimekuwa dissapoited sana.
 
dah jamani uzi wangu nimeuandika mahsus kwajili yangu mbona mnaunganisha na nyuzi za watu dah! naanza kuichukia jf. kama changamoto ni zangu mimi nimehitaji ushauri sijahitaji kuonesha changamoto.
JF imekuwa ya hovyo sana nyakati hizi. itafika wakati tutawawchia Mods wawe wanaposti wenyewe vitu wanavyovitaka. ni suala la muda tu
 
dah jamani uzi wangu nimeuandika mahsus kwajili yangu mbona mnaunganisha na nyuzi za watu dah! naanza kuichukia jf. kama changamoto ni zangu mimi nimehitaji ushauri sijahitaji kuonesha changamoto.
Hata mimi nimeona juzi kwenye uzi wangu, yaani mpaka nikahisi sio uzi wangu,.. Kiukweli wanakera sana bwana
 
[mention]Moderator [/mention] waunganishe nyuzi zote za kataa ndoa ziwe sehemu moja zinajazana sana
 
Miongoni mwa changamoto nazoziona mimi ni malezi ya upande mmoja. Au malezi mabovu ambayo maranyingi yanatokana n mzazi mmoja au wazazi wa hovyo.

Ushauri aangu wa ziada kwa vijan

oa mwanamke wa dini yako
oa mwanamle wa kabila lako
oa mwanamke alolelewa vyema na wazazi wake hasa wazazi wote wawili
oa mwanamke mwenye hofu ya Mungu
oa mwanamke anayekuheshimu
oa mwanamke unayempenda (maan imeandikwa wanaume wapendeni wake zenu)
ndoa ni kwa wenye akili tu ka huna akili ngoja upate akili ndo uoe
 
Wanapingana na Mungu ndoa ni baraka mnakataa ndoa mna halalisha upinde au sio? Acha mmalizwe na WA WEST halafu akili zikirudi 2070 mtaenda kutubu juu ya makaburi ya mababu zenu #Mungu hazihakiwi # Mungu akiruhusu jambo hapingwi, ndoa ni tendo takatifu na ni baraka Glory to God napinga ma Antichrist.
 
Dawa yao imepatiwa tiba [emoji23]
20230227_234832.jpg
 
Hujakutana tu na mtu kichwa chake kama changu ungekuwa umeo long time,watu watata kama nyie mnafaa mpate watu akili zimechangamka sio huyo unae muonea hapo
Sijui lakin labda utaweza.
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo
JamiiForums2048925001.jpg
 
Wasalaam!
Hapo Juu ipo vyema kabisa na isomeke hivo, mwanaume nendeni mkadate na wafemenia, tena hao hao wanaofanya movement, kama Ukitaka ustawi, kupumzika,amani na kutimiza calling yako hapa dunia. Why?

1. Kiuchumi. Bro, ukidate mfemenia halisi (acha hawa wanaojiita wafemenia harafu wanategemea mfuko wako ku push dreams zake,kupendeza na kuishi town). Utasave fedha na resources zako, hutoumiza kichwa kumlipia mtu kodi au kupush dreams zake huko zako zimepoa. Mkienda outings bills zikija kila mtu ashinde mechi zake. " Babe i miss u, can we Go out" ( Muulize umejipangaje [emoji1787]).
Ikija swala la uchumi ku share bills nk haitokufanya uanze kufanya kazi mbili au tatu ili kutunza mahusiano.

2. Amani ya moyo. Hakuna atayekujaji kwa kutokupendeza kwa lady wako, nani atakusemesha nakuacha kwa ajili ya U DON'T PROVIDE FOR ME ( Maana kila mtu anajilinda). Mashemeji, mashost wa mwanamke virungu vitapungua. Siku ukiamua tu ukampa hata Laki ataithamini, sio now ukiituma Unafokewa mbona hujaweka na ya kutolea.

3. Anytime unaweza Vunja uhusiano bila hofu yeyote, like ntapoteza mali au mchezo wa wanawake ku date na mwanaume kwa ajili ya status au faida yeyote. U can always run bila kusumbuka, kama Kenya tu now mkiachana kila mtu atachukua alicho chuma, Hiii ni Unyamaaa sanaaa [emoji1787].

4.Unataka kuwa na muda wa ziada? Date mfemenia. Always atakuwa anahangaika na ishu zake mwenyewe, Uhitaji kila saa kuangaika na mambo ya mtu as now ni compulsory ili uonekane mwanaume uvimbe ujitoe hadi tone la mwisho. HEY, NENDA NJE KAANGALIE KUNA ,USIKU NOW NASIKIA KUNA MTU ANAFUNGUA MLANGO, JANA NILITOKA MIMI.

5.Aibu ndogo ndogo utakwepa, Mkeo akiyakanyaga sio lazima uende kuingilia ugomvi usio kuhusu, Superwoman acha amalize shoo zake. Si unajua wanaume wenzio hawapig wanawake wakigombana public? Ila ukiingilia tu [emoji109]. Akiyakanyaga unasema HONEY malizana naye.

6. When it comes kuhusu kazi zs home majukum, Sio ngumu kutenga 100k, kumpa housegirl wako mwenyewe awe anafanya kazi zako tu, kufua, pas,kupika etc boss ukisema si unasikilizwa?

7.Equal chance ktk sheria, nk. Zile sheria zinazo favor wanawake zifutwe coz we are equal, no favor ya jinsia, Kuwa femenist usije [emoji116]


Credit: merengo
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hiloView attachment 2535180
Mmmmmmhmn subahana, huu msala mkubwa kamuachia mama yake loooo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom