Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

binti mstaarabu hata hataki mambo ya ukumbini ya gharama ila wewe ndio haujajitambua bado.
Utafika uzee huwezi hata kuinuka uko peke yake unakufa kibudu

Halafu toka lini mtu ukaomba ushauri wa mustakabali wa maisha yako kwa watu ambao hauwajui, unafuata mob psychology... pathetic
 
me nimemtel nimtolee mahali but ndoa tuwait hata mwaka au miaka miwili, ili tufocus na kukuza biashara, i know mkishafunga ndoa wazazi wake nao umefunga nao so utulivu utakosekana mapema sana.
Sasa broo?... Yaani utoe mahari afu ndoa mwakani?. Wakuwatolea mahari kisha ndoa baadae ni hawa wanawake wa sasa hivi?... Broo hauko siriasi kaka... Mtu kaoa kwa ndoa kabisa lakini papuchi inachapika nje.. Sembuse wewe uliyetoa mahari na hujaoa... Yaani utakua sawa na yule aliesomesha afu akakataliwa,.. Sikushauri utoe mahari afu uoe mwakani.. Broo utapoteza pesa yako... Hio utatolea wengine waoe ila sio wewe
 
salam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.

sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279

nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.

IMG_8167.jpg
 
binti mstaarabu hata hataki mambo ya ukumbini ya gharama ila wewe ndio haujajitambua bado.
Utafika uzee huwezi hata kuinuka uko peke yake unakufa kibudu

Halafu toka lini mtu ukaomba ushauri wa mustakabali wa maisha yako kwa watu ambao hauwajui, unafuata mob psychology... pathetic
ntajitahidi nilifanyie kazi mkuu sikatai ushauri, kama nlivosema mimi ni muumini wa non-directional hypothesis so am ready kwa kila ushauri then ntahitimisha kichwani. nlitaka kufaham kwa scenario yangu kwa mawazo ya wadau imekaaje.
 
Huo mtego wa ndoa boss we endelea kula mbususu tu hata mahali usilipe Hamna pisi apo
Ogopa sana mwanamke anaefosi ndoa[emoji3][emoji3]. Ukishamuoa utaona rangi zake zote

Naunga mkono, Kwa hayo mawazo yake ni labda hakuamini, anahisi unataka kumtumia kweny biashara zako kwa hiyo kachagua kutumika mwili……we endelea kuchakata then weka priority kwenye kinachokufanya u survive, ukipata anguko hata hiyo ndoa inaweza kwenda kuwa chungu…ila sikiliza moyo wako.
 
salam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.

sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279

nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.
Sasa hapo binti si anataka kabisa ndoa

Tena hataki mambo mengi
 
Sasa broo?... Yaani utoe mahari afu ndoa mwakani?. Wakuwatolea mahari kisha ndoa baadae ni hawa wanawake wa sasa hivi?... Broo hauko siriasi kaka... Mtu kaoa kwa ndoa kabisa lakini papuchi inachapika nje.. Sembuse wewe uliyetoa mahari na hujaoa... Yaani utakua sawa na yule aliesomesha afu akakataliwa,.. Sikushauri utoe mahari afu uoe mwakani.. Broo utapoteza pesa yako... Hio utatolea wengine waoe ila sio wewe
shukrani sana kwa ushauri, nimeliwaza hili hata mimi lakini itakuwa vipi kama nkioa na nkachapiwa kabisa. si bora hata mahali iende. japo hatuombei ila najitahidi kupata udadisi kwa wataalam kama ubongo wangu utaridhia ndoa. basi ntakuwa muumini wa bro Mshana jr.
 
salam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.

sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279

nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.
Mtu mwenyewe anakata maneno hivyo, Shauri yako
 
Mtego huo! Sio wote timu kataa ndoa hatujawahi kuwa na ndoa mkuu, wengine tulikuwa na zenye miaka 15+.

Huyo ana hamu na ndoa sababu hana, mkifunga ndio utajua hujui.

Kataa ndoa......
 
sometyme namuelewa ila hizi nyuzi za kataa ndoa ndo zinatutisha mkuu. itabidi tuingie kwanza deep kufatilia madai yao.
Mpime kwa vipimo vyako mwenyewe mkuu akijaa weka ndani

Watu wa humu wanakwambia kwa experience zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na yako na ya huyo binti
 
shukrani sana kwa ushauri, nimeliwaza hili hata mimi lakini itakuwa vipi kama nkioa na nkachapiwa kabisa. si bora hata mahali iende. japo hatuombei ila najitahidi kupata udadisi kwa wataalam kama ubongo wangu utaridhia ndoa. basi ntakuwa muumini wa bro Mshana jr.
We OA kisha tia mimba alee
 
dah jamani uzi wangu nimeuandika mahsus kwajili yangu mbona mnaunganisha na nyuzi za watu dah! naanza kuichukia jf. kama changamoto ni zangu mimi nimehitaji ushauri sijahitaji kuonesha changamoto.
 
Back
Top Bottom