Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa broo?... Yaani utoe mahari afu ndoa mwakani?. Wakuwatolea mahari kisha ndoa baadae ni hawa wanawake wa sasa hivi?... Broo hauko siriasi kaka... Mtu kaoa kwa ndoa kabisa lakini papuchi inachapika nje.. Sembuse wewe uliyetoa mahari na hujaoa... Yaani utakua sawa na yule aliesomesha afu akakataliwa,.. Sikushauri utoe mahari afu uoe mwakani.. Broo utapoteza pesa yako... Hio utatolea wengine waoe ila sio weweme nimemtel nimtolee mahali but ndoa tuwait hata mwaka au miaka miwili, ili tufocus na kukuza biashara, i know mkishafunga ndoa wazazi wake nao umefunga nao so utulivu utakosekana mapema sana.
🤣🤣 mkuu itakuwa kesi nzito ntang'ang'aniwa.Mpe mimba kwanza
salam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.
sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279
nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.
ntajitahidi nilifanyie kazi mkuu sikatai ushauri, kama nlivosema mimi ni muumini wa non-directional hypothesis so am ready kwa kila ushauri then ntahitimisha kichwani. nlitaka kufaham kwa scenario yangu kwa mawazo ya wadau imekaaje.binti mstaarabu hata hataki mambo ya ukumbini ya gharama ila wewe ndio haujajitambua bado.
Utafika uzee huwezi hata kuinuka uko peke yake unakufa kibudu
Halafu toka lini mtu ukaomba ushauri wa mustakabali wa maisha yako kwa watu ambao hauwajui, unafuata mob psychology... pathetic
Huo mtego wa ndoa boss we endelea kula mbususu tu hata mahali usilipe Hamna pisi apo
Ogopa sana mwanamke anaefosi ndoa[emoji3][emoji3]. Ukishamuoa utaona rangi zake zote
Sasa hapo binti si anataka kabisa ndoasalam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.
sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279
nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.
Liverpool VPNsalam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.
sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279
nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.
shukrani sana kwa ushauri, nimeliwaza hili hata mimi lakini itakuwa vipi kama nkioa na nkachapiwa kabisa. si bora hata mahali iende. japo hatuombei ila najitahidi kupata udadisi kwa wataalam kama ubongo wangu utaridhia ndoa. basi ntakuwa muumini wa bro Mshana jr.Sasa broo?... Yaani utoe mahari afu ndoa mwakani?. Wakuwatolea mahari kisha ndoa baadae ni hawa wanawake wa sasa hivi?... Broo hauko siriasi kaka... Mtu kaoa kwa ndoa kabisa lakini papuchi inachapika nje.. Sembuse wewe uliyetoa mahari na hujaoa... Yaani utakua sawa na yule aliesomesha afu akakataliwa,.. Sikushauri utoe mahari afu uoe mwakani.. Broo utapoteza pesa yako... Hio utatolea wengine waoe ila sio wewe
sometyme namuelewa ila hizi nyuzi za kataa ndoa ndo zinatutisha mkuu. itabidi tuingie kwanza deep kufatilia madai yao.Sasa hapo binti si anataka kabisa ndoa
Tena hataki mambo mengi
Mtu mwenyewe anakata maneno hivyo, Shauri yakosalam wakuu, hii debate mimi ni mfatiliaji mzuri tu na huwa napenda kuona mawazo ya watu kuhusu kuingia kwenye ndoa na kukataa ndoa.
sasa mambo yamefika kubaya na majibu sijapata binti anataka ndoa au kama sivyo tusipate mtoto na tusiishi pamoja tuendelee tu na kusuguana.
View attachment 2528279
nawasilisha wakuu, hii imenitokea mda huu huu naombeni mawazo.
na kwanini anilazimishe.Mtu mwenyewe anakata maneno hivyo, Shauri yako
Alooo!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii stage mbayana kwanini anilazimishe.
Mpime kwa vipimo vyako mwenyewe mkuu akijaa weka ndanisometyme namuelewa ila hizi nyuzi za kataa ndoa ndo zinatutisha mkuu. itabidi tuingie kwanza deep kufatilia madai yao.
We OA kisha tia mimba aleeshukrani sana kwa ushauri, nimeliwaza hili hata mimi lakini itakuwa vipi kama nkioa na nkachapiwa kabisa. si bora hata mahali iende. japo hatuombei ila najitahidi kupata udadisi kwa wataalam kama ubongo wangu utaridhia ndoa. basi ntakuwa muumini wa bro Mshana jr.