Wasalaam!
Hapo Juu ipo vyema kabisa na isomeke hivo, mwanaume nendeni mkadate na wafemenia, tena hao hao wanaofanya movement, kama Ukitaka ustawi, kupumzika,amani na kutimiza calling yako hapa dunia. Why?
1. Kiuchumi. Bro, ukidate mfemenia halisi (acha hawa wanaojiita wafemenia harafu wanategemea mfuko wako ku push dreams zake,kupendeza na kuishi town). Utasave fedha na resources zako, hutoumiza kichwa kumlipia mtu kodi au kupush dreams zake huko zako zimepoa. Mkienda outings bills zikija kila mtu ashinde mechi zake. " Babe i miss u, can we Go out" ( Muulize umejipangaje [emoji1787]).
Ikija swala la uchumi ku share bills nk haitokufanya uanze kufanya kazi mbili au tatu ili kutunza mahusiano.
2. Amani ya moyo. Hakuna atayekujaji kwa kutokupendeza kwa lady wako, nani atakusemesha nakuacha kwa ajili ya U DON'T PROVIDE FOR ME ( Maana kila mtu anajilinda). Mashemeji, mashost wa mwanamke virungu vitapungua. Siku ukiamua tu ukampa hata Laki ataithamini, sio now ukiituma Unafokewa mbona hujaweka na ya kutolea.
3. Anytime unaweza Vunja uhusiano bila hofu yeyote, like ntapoteza mali au mchezo wa wanawake ku date na mwanaume kwa ajili ya status au faida yeyote. U can always run bila kusumbuka, kama Kenya tu now mkiachana kila mtu atachukua alicho chuma, Hiii ni Unyamaaa sanaaa [emoji1787].
4.Unataka kuwa na muda wa ziada? Date mfemenia. Always atakuwa anahangaika na ishu zake mwenyewe, Uhitaji kila saa kuangaika na mambo ya mtu as now ni compulsory ili uonekane mwanaume uvimbe ujitoe hadi tone la mwisho. HEY, NENDA NJE KAANGALIE KUNA ,USIKU NOW NASIKIA KUNA MTU ANAFUNGUA MLANGO, JANA NILITOKA MIMI.
5.Aibu ndogo ndogo utakwepa, Mkeo akiyakanyaga sio lazima uende kuingilia ugomvi usio kuhusu, Superwoman acha amalize shoo zake. Si unajua wanaume wenzio hawapig wanawake wakigombana public? Ila ukiingilia tu [emoji109]. Akiyakanyaga unasema HONEY malizana naye.
6. When it comes kuhusu kazi zs home majukum, Sio ngumu kutenga 100k, kumpa housegirl wako mwenyewe awe anafanya kazi zako tu, kufua, pas,kupika etc boss ukisema si unasikilizwa?
7.Equal chance ktk sheria, nk. Zile sheria zinazo favor wanawake zifutwe coz we are equal, no favor ya jinsia, Kuwa femenist usije [emoji116]
Credit:
merengo