Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

Kwa wengine ni mwiba wa mbigili [emoji23]

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mapenzi ya jinsia moja sio haki za binadamu, nchi hii tulitungiwa sheria na Waingereza mwaka 1934 ya kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, hiyo sheria ikaongezwa makali mwaka 1959, 1998 ikaongezwa makali zaidi na kuongeza vifungu maalum vya makosa ya ngono" @TunduALissu
 
Kama mwanaume , lengo langu kwa sasa siyo kuwa na furaha tena ,/pekee lengo lang ni kuwajibika kwa kila ninalolifanya na kila linalonihusu , linalonikabili
 
Rashidi Hussein Mkayala Mkazi wa Mtaa wa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amejinyonga kwa kutumia kilemba chake cha kichwani muda mfupi baada ya kumuua Mke wake, Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga chanzo kikitajwa kuwa ni mgogoro ndani ya ndoa yao.

Mwenyekiti wa Mtaa huo, Buswalu Mulumbu Mkama ameiambia #AyoTV kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro uliotokea siku za nyuma ambapo Mke wa marehemu alifika kwa Mwenyekiti na kutoa taarifa ya vitendo vya Mume wake kuchukua vitu vya ndani na kuuza ambapo mara kadhaa kesi zao zilikuwa zikipelekwa kwake kwa ajili ya usuluhishi.

Mwenyekiti huyo amesema siku moja kabla tukio Mwanamke huyo alilala nyumbani kwake baada ya kukimbia nyumbani kwa Mume wake kufuatia kipigo alichopata kutoka kwa Mume wake ambapo katika tukio hilo alidai kunusurika kuuawa baada ya kukabwa shingo na waya wa umeme na alipopata nafasi ya kuchomoka alikimbia na kukimbilia kwa Mwenyekiti wa Mtaa.

Uchunguzi wa awali wa tukio hilo umeonesha kuwa Rashidi Hussein alimnyonga Mke wake kwa mikono hadi kumuua na baadaye kutoka nje ambapo alifunga mlango kwa nje na kurudi ndani kupitia dirishani ambapo alifunga milango yote na madirisha na yeye kujinyonga kwa kitambaa cha kichwani. #MillardAyoUPDATES
 
Your browser is not able to display this video.
 
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…