Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Wauzaji wengine yaani usimpe nafasi aongee na Fundi wako, akipata nafasi tu kama Fundi mwenyewe nae njaa kali basi umeisha Ndugu yangu
Jitahidi kuwa na fundi wa uhakika..!
 
Be forward wana kipindi maalum Cha offer. Gari ya 6,000 USD unapata kwa 2,500 USD
 
Hio ilikuwa gari ya kulenga, gari za hivyo huwa zimenyooka na bei kitonga sababu huwa unaipata kwa mwenyewe na haijapitia mikono mingi.
 
Hio ilikuwa gari ya kulenga, gari za hivyo huwa zimenyooka na bei kitonga sababu huwa unaipata kwa mwenyewe na haijapitia mikono mingi.
Kumbe hiyo ndio maana ya "gari ya kulenga"..!
Unawezaje kulenga wakati dalali hataki ukutane na mwenyewe..!?
 
Kumbe hiyo ndio maana ya "gari ya kulenga"..!
Unawezaje kulenga wakati dalali hataki ukutane na mwenyewe..!?
Hii hutokea kama bahati tu mfano mie kuna mtu nimemuuzia Allion juzi kati hapo ile gari condition yake ni kama mpya tu maaana gari imekaza kila idara anzia engine mpaka Body!

Gari ni ya jamaa yangu ambaye tunafahamiana kitambo na jamaa ni smart kwenye utunzaji sana. Gari usajili ni wa 2017 ila kitu iko mang'anyu sana.

Kwa bei niliouza ingefika kwa madalali pale mlimani city wangepiga faida ya 1-3M bila wasiwasi maana gari inakuita rim kali balaa!
 
ukinunua gari kwa mtu hakikisha unabadili vitambaa vya seat zako kuna wengine wanatombeanamo ndani humo
Hahaha aisee umewaza mbali kweli.. Hii tabia ya ovyo kweli..!
Gari vioo tinted ndio inachangia kuhamasisha..!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hello naomba ni tag ule uzi wako wa namna ya kutoa gari bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…