Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Hata Yale ya yard mengi Yana ujanja ujanja tu, pote ni kubahatisha, gari za mikononi kwa watu unaweza ukapata iliosimama mpka ukashangaaa! Nilinunua matako ya nyani kwa mwarabu mmoja hivi kwa 14.5m nikakaa nayo wiki 2 nikaiuza 24m kwa mtu wangu wa karibu sana na iko imara balaa, mpaka sasa ina km 68,000 haina shida yeyote.
Aisee kuna watu mna bahati Jamani Yaani ulinunua Harrier tako la nyani milioni 14, ukaiuza 24mil. Duh!!!, Hongera sana Mkuu.
 
Gari haijawahi kufunguliwa engine...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unajiuliza kama ikiwa inahitaji kubadilishwa head gasket itabadilishwa bila kufungua..
Nilitaka kusema kuhusu hilo. Mie ikiwa na tatizo la kurekebisha kwenye injini narekebisha gari ikigongwa napiga rangi yote. Nashangaa mtu anasema gari haijarudiwa rangi. Kwani kupiga rangi ni kosa? Bongo kuna ukosefu mkubwa sana wa elimu
 
Gari mpya ikirudiwa rangi thamani itashuka..!
Gari mpya ikifunguliwa injini thamani itashuka..!
 
Nilitaka kusema kuhusu hilo. Mie ikiwa na tatizo la kurekebisha kwenye injini narekebisha gari ikigongwa napiga rangi yote. Nashangaa mtu anasema gari haijarudiwa rangi. Kwani kupiga rangi ni kosa? Bongo kuna ukosefu mkubwa sana wa elimu
Mimi najiandaa kwenda kuipiga rangi gari kwa mara pili rangi yangu ni rahisi kuweka mikwaruzo yani ukipaki sehemu lazima ukute kuna watu wameshatia scratch...
 
Back
Top Bottom