Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 829
Za kuambiwa changanya na za kwakoMkuu wanawake wote hao? Tatizo letu km mda bd wa kuoa tunawaburuza sana hawa mabint Na kuwaacha unapofika mda wa kuoa unatafuta ambaye hajafanywa upuuz huu mwanamke anabadilika tu kulingana na msimamo wako hata km tabia yake ilikuwa mbovu na yote ss wanaume huwa ndio tunasababsha utakuta ke ameachwa Na kila mwanaume na wote walio mpitia hawakua serious kwenye ndoa
Ushaur kwa dunia ya sasa huna haja ya kuchagua sana tafta utakae
Mwona ni mzur kwako kimaumbile thn mwambie suala la ndoa tabia huwa inabadilika tu ukichagua sana utapata koroma
Mimi nipo vijijini ndo napofanyia kazi lakini nimekosa, ushindani ni mwingi sana aisee na umri ndo huo unaenda. Sometimes huwa nasema kazi yangu (mwalimu) pia inachangia nisipendwe na wanawake kama sio kimo changuMkuu naona tukajaribu vijijini,maana umri unasonga mbele
Mkuu umenena Vema.Basi ndugu, nawasihi, kwamba nyote mnene mamoja; wala pasiwe kwenu faraka, bali mhitimu katika nia moja na shauri moja.
Bado endeleee ukiona ivyo ata we bado ujafika kwenye ndoa
Mkuu umenigusa sana.Haya mkuu,15-25yrs tunawaburuza,,,,
kuanzia 26yrs tunatafuta ambaye hajaburuzwa ni shida sana
Tutaendlea hivyo mpaka lini?Ndio mana mm nimeamua nikiwa na hamu ya kumwaga oil nakamata na chinjaaa tarehe zinaendelea
Pole!! Kweli hapo pressure lazima upande au ishukeMimi nina watoto wawili. Kila nikiwaangalia presha ya kuoa inashuka kidogo
Duh kuoa na 35 mkuu?? Hapo first born anapatikana lini??Swal la kutafuta Mke au Mume halina formula unaweza pata mwanamke siku za mwanzo akaficha kucha zake sabab anataka ndoa ukishamuoa ndo dunia utaiona chungu, sasa usiwe na pupa kama umemaliza chuo miaka ya nyuma nadhani bado kuna issue nyingi za kimaendelea au kiuchumi unaziendeleza focus huko kwanza na utilize akili huku ukimuomba Mungu basi utapata tu, wapo wanawake nao wazuri wanahangaika kutafuta mume bora, mara nyingi sifa na jinsi ya kutafuta mke tafuta ushauri kupitia watu wazima wenye umri wa miaka 55 na Zaidi, ongelea hilo kwao na watakupa njia sahihi, Pia usiwe mtu wa kujiweka nyuma unapoalikwa kwenye nyumba za watu kwa ajili ya lunch au dinner, na kwenye mikusanyiko ya harusi na hata huko kanisani, na unapokwenda kwenye makampuni ya watu kama unafanya kazi, wake hawapatikani club/bar au kwenye band n.k...kuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, utakapompata utamchunguza kama anafaa ndani ya miaka 2 au 3 mpaka 34 au 35 unaoa...
Duh kuoa na 35 mkuu?? Hapo first born anapatikana lini??
Sehemu special ipo wewe, ni hapa JF!Mkuu hakuna sehemu special ya kupata mke/mume...
Vinginevo endelea kupiga maombi tu
Ooh kumbe!Sehemu special ipo wewe, ni hapa JF!
Wangu nilimpata hapa hapa na tunaendelea kula mema ya hii dunia!Ooh kumbe!
Wako ulimpatia huku?
Hongereni sana....Wangu nilimpata hapa hapa na tunaendelea kula mema ya hii dunia!
Mkuu 34 au 35 ndio mtu aoe, je umesahau shughuli ya kupata mtoto inaweza chukua hata miaka mi tatu au mitano?Swal la kutafuta Mke au Mume halina formula unaweza pata mwanamke siku za mwanzo akaficha kucha zake sabab anataka ndoa ukishamuoa ndo dunia utaiona chungu, sasa usiwe na pupa kama umemaliza chuo miaka ya nyuma nadhani bado kuna issue nyingi za kimaendelea au kiuchumi unaziendeleza focus huko kwanza na utilize akili huku ukimuomba Mungu basi utapata tu, wapo wanawake nao wazuri wanahangaika kutafuta mume bora, mara nyingi sifa na jinsi ya kutafuta mke tafuta ushauri kupitia watu wazima wenye umri wa miaka 55 na Zaidi, ongelea hilo kwao na watakupa njia sahihi, Pia usiwe mtu wa kujiweka nyuma unapoalikwa kwenye nyumba za watu kwa ajili ya lunch au dinner, na kwenye mikusanyiko ya harusi na hata huko kanisani, na unapokwenda kwenye makampuni ya watu kama unafanya kazi, wake hawapatikani club/bar au kwenye band n.k...kuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, utakapompata utamchunguza kama anafaa ndani ya miaka 2 au 3 mpaka 34 au 35 unaoa...
Wewe ulishampata mume?Hongereni sana....