Changamoto ya kupata mke

Changamoto ya kupata mke

Mkuu wanawake wote hao? Tatizo letu km mda bd wa kuoa tunawaburuza sana hawa mabint Na kuwaacha unapofika mda wa kuoa unatafuta ambaye hajafanywa upuuz huu mwanamke anabadilika tu kulingana na msimamo wako hata km tabia yake ilikuwa mbovu na yote ss wanaume huwa ndio tunasababsha utakuta ke ameachwa Na kila mwanaume na wote walio mpitia hawakua serious kwenye ndoa
Ushaur kwa dunia ya sasa huna haja ya kuchagua sana tafta utakae
Mwona ni mzur kwako kimaumbile thn mwambie suala la ndoa tabia huwa inabadilika tu ukichagua sana utapata koroma
Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Basi ndugu, nawasihi, kwamba nyote mnene mamoja; wala pasiwe kwenu faraka, bali mhitimu katika nia moja na shauri moja.

Bado endeleee ukiona ivyo ata we bado ujafika kwenye ndoa
Mkuu umenena Vema.
 
Mkuu punguza vigezo vya huyo umtakae kumbuka ule usemi wa "mchagua nazi........

Usijione mjanja sana kuwa unajua sana na wala si aibu kuwashirikisha wakubwa kama kaka, dada, wajomba hata wazazi wako wakusaidie kupata huyo mchumba.....

Pia heshimu sana maamuzi yao kumbuka ya kuwa wao wanauzoefu na hayo mambo kuliko wewe!!

Lkn pia hata kama unamdogo wako ambae ameoa muda mrefu pia si vibaya kumshirikisha ili akusaidie ila kama utaleta dharau zako za kipuuzi kisa eti una ka-degree na mdogo wako hana kumbuka ye anazoefu na anajua jinsi ya kumpata mke mzuri kuliko wewe ambae ndio kwaaanza unajifunza.....

Mwisho mshirikishe muumba wako akusaidie
 
Upo kwenye barabara sahihi kabisa ... Njia kuu ya kwanza kabisa ya kupata mke ni kutaka mke, safari yako ya kuwa mume imeanza, sali sana, kuwa mtu mwema na ongeza bidii ya kutafuta marafiki 'wazuri' wa kike.

Hongera
 
Mimi nina watoto wawili. Kila nikiwaangalia presha ya kuoa inashuka kidogo
 
Swal la kutafuta Mke au Mume halina formula unaweza pata mwanamke siku za mwanzo akaficha kucha zake sabab anataka ndoa ukishamuoa ndo dunia utaiona chungu, sasa usiwe na pupa kama umemaliza chuo miaka ya nyuma nadhani bado kuna issue nyingi za kimaendelea au kiuchumi unaziendeleza focus huko kwanza na utilize akili huku ukimuomba Mungu basi utapata tu, wapo wanawake nao wazuri wanahangaika kutafuta mume bora, mara nyingi sifa na jinsi ya kutafuta mke tafuta ushauri kupitia watu wazima wenye umri wa miaka 55 na Zaidi, ongelea hilo kwao na watakupa njia sahihi, Pia usiwe mtu wa kujiweka nyuma unapoalikwa kwenye nyumba za watu kwa ajili ya lunch au dinner, na kwenye mikusanyiko ya harusi na hata huko kanisani, na unapokwenda kwenye makampuni ya watu kama unafanya kazi, wake hawapatikani club/bar au kwenye band n.k...kuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, utakapompata utamchunguza kama anafaa ndani ya miaka 2 au 3 mpaka 34 au 35 unaoa...
 
Duh kuoa na 35 mkuu?? Hapo first born anapatikana lini??
 
Hapo chacha...Hahaha mtu unagonga 50 mwanao ndio ana turn 15 aisee....duuh

Frankly speaking haya mambo ya haki sawa kwa wanawake ndio hufanya wawe na jeuri na washindwe tulia na kuolewa mapema.

Zamani binti akishamaliza la 7 tu ni ndoa hapo hapo....ila kwa utandawazi kukua kwa sasa tungewafanyia form 4 au diploma (mzazi no more kusomesha) but wanaume wapewe kipaumbele kuendelea ma chuo huko.

Maana ishakua kero ati.
 
Mkuu pole sana, kuna kitu kimoja tu ambacho hujakipa kipaumbele, kama wewe ni mkristo huna haja ya kutahayari,Jibu ni Yesu tu! Kumbuka biblia inasema mke mwema hutoka kwa bwana, kwa Yesu hakuna kuumizwa na mapenzi na chochote Yohana10:10
 
Swal la kutafuta Mke au Mume halina formula unaweza pata mwanamke siku za mwanzo akaficha kucha zake sabab anataka ndoa ukishamuoa ndo dunia utaiona chungu, sasa usiwe na pupa kama umemaliza chuo miaka ya nyuma nadhani bado kuna issue nyingi za kimaendelea au kiuchumi unaziendeleza focus huko kwanza na utilize akili huku ukimuomba Mungu basi utapata tu, wapo wanawake nao wazuri wanahangaika kutafuta mume bora, mara nyingi sifa na jinsi ya kutafuta mke tafuta ushauri kupitia watu wazima wenye umri wa miaka 55 na Zaidi, ongelea hilo kwao na watakupa njia sahihi, Pia usiwe mtu wa kujiweka nyuma unapoalikwa kwenye nyumba za watu kwa ajili ya lunch au dinner, na kwenye mikusanyiko ya harusi na hata huko kanisani, na unapokwenda kwenye makampuni ya watu kama unafanya kazi, wake hawapatikani club/bar au kwenye band n.k...kuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, utakapompata utamchunguza kama anafaa ndani ya miaka 2 au 3 mpaka 34 au 35 unaoa...
Mkuu 34 au 35 ndio mtu aoe, je umesahau shughuli ya kupata mtoto inaweza chukua hata miaka mi tatu au mitano?
 
Back
Top Bottom