Swal la kutafuta Mke au Mume halina formula unaweza pata mwanamke siku za mwanzo akaficha kucha zake sabab anataka ndoa ukishamuoa ndo dunia utaiona chungu, sasa usiwe na pupa kama umemaliza chuo miaka ya nyuma nadhani bado kuna issue nyingi za kimaendelea au kiuchumi unaziendeleza focus huko kwanza na utilize akili huku ukimuomba Mungu basi utapata tu, wapo wanawake nao wazuri wanahangaika kutafuta mume bora, mara nyingi sifa na jinsi ya kutafuta mke tafuta ushauri kupitia watu wazima wenye umri wa miaka 55 na Zaidi, ongelea hilo kwao na watakupa njia sahihi, Pia usiwe mtu wa kujiweka nyuma unapoalikwa kwenye nyumba za watu kwa ajili ya lunch au dinner, na kwenye mikusanyiko ya harusi na hata huko kanisani, na unapokwenda kwenye makampuni ya watu kama unafanya kazi, wake hawapatikani club/bar au kwenye band n.k...kuna baadhi ya sehemu unaeza kutana na mtu ukajihisi ni salama kidogo, utakapompata utamchunguza kama anafaa ndani ya miaka 2 au 3 mpaka 34 au 35 unaoa...