Mkuu kwenye barua anuani ya mwandikiwa inakuajTumia email uliyotumia kuingia, form four format yake ni S111-0001/2013
Habarini za jioni wadau. Kwa wale walio fanya maombi ya kazi ya ualimu nina swali kidogo nahitaji msaada wenu.Any who face difficult please consult me
Habari wadauAny who face difficult please consult me
Bro mm napata ugumu naomba unisaidie nilitaka ku upload baadhi ya document ila ina load jana kutwa mzima mpaka usiku bado hali ni ile ile nifanyeje, kuhusu network ipo vizur na nimejaribu mitandao yote hali ni ile ileAny who face difficult please consult me
Una attach barua ya kuomba kazi!Habarini za jioni wadau. Kwa wale walio fanya maombi ya kazi ya ualimu nina swali kidogo nahitaji msaada wenu.
Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Maana hii sehemu inanichanganya. Maana pia kuna sehemu ya kujaza application latter.
Asanten
Wewe kwani mwalimu sijuzi ulikuwa unalalamikaChangamoto ni nyingi , me kila napochagua shule inagoma haileti option yoyote ya shuke mkoa , Yani emtpy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna shida , me sio mwalimu, lakini nauwezo wa kufundishaWewe kwani mwalimu sijuzi ulikuwa unalalamika
Jana mtandao ulikuwa unateleza tuhapaonguki kuselect msaadaView attachment 1780701