Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Wakuu habari Zenu
Katika kuapply kazi hizi mpya Tamisemi
Kuna mdogo wangu anakwama Mahali
Hapo kwenye Selection ya Mikoa

Naomba kujua kwa walio apply wamakutana na hii changamoto au iko kwa baadhi ya watu!!
Natanguliza shukrani

IMG-20210511-WA0023.jpg
 
Aendee kwenye viambatanisho aondoe ile barua, then arud kwenye uchaguzi wa shule kisha aanze na barua then amalizie kuchagua shule akimaliza hapo anarefresh page
Kazi inakuwa imeisha
 
Aanze tena na barua kivp mkuu
 
Aendee kwenye viambatanisho aondoe ile barua, then arud kwenye uchaguzi wa shule kisha aanze na barua then amalizie kuchagua shule akimaliza hapo anarefresh page
Kazi inakuwa imeisha
Yeye ana apply kwenye afya mkuu
 
Kila akiweka username na pasword anaambiwa unauthorised user/bad credentials...Msaada katika hili wakuu
Bad credentials, it's means password sio sahihi so akumbuke password vizuri au aibadilishe tuu ambayo nayo ni simple procedure
Unauthorised user hapo form four index number haipo sahihi angalie vizur kama namba ameandika fresh
 
Kwa msaidizi wa Afya nikiweka jina LA chuo nilichosoma haiji cozi ya medical attendant anaejua jinsi y kujaza hap anipe mwongozo tafadhAr
 
Good Luck young man.

Watakuja wanaoweza kukupa msaada.
 
Barua ya maombi ya kazi
Samahani ndugu kwa upande wa afya ngazi ya msaidizi was afya nakiweka Nina LA chuo sehem ya college na coz nakiweka sielew inasumbua hasa kwa msaidizi was afya msaada plz
 
Bad credentials, it's means password sio sahihi so akumbuke password vizuri au aibadilishe tuu ambayo nayo ni simple procedure
Unauthorised user hapo form four index number haipo sahihi angalie vizur kama namba ameandika fresh
System inakataa kubadili pasword
 
Bad credentials, it's means password sio sahihi so akumbuke password vizuri au aibadilishe tuu ambayo nayo ni simple procedure
Unauthorised user hapo form four index number haipo sahihi angalie vizur kama namba ameandika fresh
Anabadilisha vp paswrd maana kila akitaka kubadili anaambiwa failed to change paswrd.Ana siku ya tatu leo anakwama katika hilo
 
Wadau changamoto ninayo kutana nayo ni ku log in nimesahau passward kila ninapo taka ku change inagoma msada please

Screenshot_2021-05-11-08-28-19.png
 
Back
Top Bottom