Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Msaada wakuu najisajili kwenye tovuti ya ajira tamisemi.... taarifa zipo sahihi ila nikibofya kitufe cha hakiki taarifa inapop uo message "NECTA CANDIDATE PARTICULARS DOES NOT MATCH"
Unaandikaje hizo hebu weka hapa tukusaidie deadline imefika
 
mtandao tu huo itakubali baadae
Najaribu kuedit kipengele cha taarifa za chuo, hatua ya kuappload transcript na certificate ya chuo inagoma.
Inakuja message "Attachment must be in PDF format" wakati kila kitu kipo PDF na awali documents zote zilizikuwa 100% leo najaribu kuedit inagoma.

Msaada tafadhali
IMG_20210522_103335_360.jpg
 
Any who face difficult please consult me
Tafadhal ndugu msaada wako najaza taarifa zangu za kwenye vyet vya sekondari kila kitu kipo sahihi lakn inaniletea maandish NECTA CANDIDATES PARTICULARS DOES NOT MATCH naomben msaada wenu nimetingwa sana na bado sku 1
 
JAZA MAJINA KWA HERUFI KUBWA MKUU
 
Tafadhal ndugu msaada wako najaza taarifa zangu za kwenye vyet vya sekondari kila kitu kipo sahihi lakn inaniletea maandish NECTA CANDIDATES PARTICULARS DOES NOT MATCH naomben msaada wenu nimetingwa sana na bado sku 1
Represh page itakua sawa
 
POLENI SANA KWA CHANGAMOTO HII walio wengi mnakosea kipengele kimoja muhimu sana baada ya kujaza taarifa zako za olevel bonyeza kitufe cha hakiki kabla ya kubonyeza hifadhi kwa kuwa unaamini taarifa ulizoweka ni sahihi ndiyomaana unaenda moja kwa moja kwenye hifadhi hilo ndo kosa kubwa kufanya hivyo unhifadhi taarifa ambazo hazijahakikiwa na kufanya ziwe kukufanya kuendelea na hatua zinazofuata kwa msaada nipigie namba 0626402722 nitakusaidia bila charge yoyote
 
Back
Top Bottom