Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

niko hatua za mwanzo kbsa za kuomba napata error message contact system administrator...ukiwapigia hawapokei. kweli system za serikali zinatengenezwa na panya wa SUA kaandika jamaa mmoja
 
mimi

mimi nakumbana na ujumbe kama huu mwanzoni kabisa. msaada
Jaribu kufanya hivi.

Chukua cheti cha form 4 . Harafu unavoingia kwenye account yako jaza taarifa kulingana na zilivyokatika hicho cheti chako. Mfano , jina la kati huenda kwenye cheti chako halipo hivyo katika kujaza usiweke majina matatu weka kama yalivyo kwenye cheti cha form 4.
 
Msaada tafadhali, Nilisahau nywila za account yangu nikajaribu kubadilisha ikashindikana,nimefungua account mpya ila kila nikitaka kuingiza vyeti system inagoma (Index number already exists). Nitumie njia gani wakuu??
 
niko hatua za mwanzo kbsa za kuomba napata error message contact system administrator...ukiwapigia hawapokei. kweli system za serikali zinatengenezwa na panya wa SUA kaandika jamaa mmoja
Hata mimi nimejaribu kuwapigia sana lakini hawapokei sijui tutumie njia gani kupata msaada wao.
 
Najiungaji OTEAS online? Maana inanisumbua. Naomba msaada wa haraka tafadhali.
 
Si ungeenda kwenye maeneo wanayotoa huduma za internet! Mfano stationery, nk. Ukawatoe kidogo ili wakusaidie?
 
Wapendwa, naomba msaada. Najiunga OTEAS online, mwisho wa kuhakiki Ina niambia NECTA CANDIDATES PARTICULAR DOES NOT MATCH,, Naombeni munisaidie wapi nakosea ili nirekebishe.
 
Jaribu kufanya hivi.

Chukua cheti cha form 4 . Harafu unavoingia kwenye account yako jaza taarifa kulingana na zilivyokatika hicho cheti chako. Mfano , jina la kati huenda kwenye cheti chako halipo hivyo katika kujaza usiweke majina matatu weka kama yalivyo kwenye cheti cha form 4.
imekubali mkuu, shida nyingine siye tunayeomba nafasi ya ustawi wa jamii, kwenye kujaza chuo imegoma kwa sababu kwenye kuchagua kiwango cha elimu kwenye dropdown zote ni afya sijaona kada nyingine. mliofanikiwa mnafanyaje
 
Namna ya kujisajili OTEAS. Nimejaribu sana lakini inaniambia candidates na personalfication haija match.
Edit taarifa binafsi kwanza! Yawezekana umeweka majina matatu wakati huo majina kwenye vyeti yapo mawili. Thank me later
 
Jamani mimi nilishaomba wakat ule...sasa naingiza username na password inaniambia unauthorized user" nashindwa kuelewa...nsaidien
 
Edit taarifa binafsi kwanza! Yawezekana umeweka majina matatu wakati huo majina kwenye vyeti yapo mawili. Thank me later
Mkuu hapl kwangu natakiwa kufanya nn...maana ni juz tu niliingia na hyohyo but leo naambiwa unauthorized user
 
Mfumo wa ajira tamisemi unasumbua unatengeneza loop.

Nimejisajili kila mda inaniambia log in, nikilog in inasema nihakiki na hakiki ikimaliza kuakiki inalud katika log in.

ajira tamisemi-user verified log in loop.PNG
 
Mkuu hapl kwangu natakiwa kufanya nn...maana ni juz tu niliingia na hyohyo but leo naambiwa unauthorized user
Unakosea kujaza taarifa zako kama uliingia kwa email jaribu namba ya form four ! Kwa mfumo wa Sxxxx-xxxx/yyyyy. Hakikisha pia password iko sawa, yaani kumbuka kama ulitumia herufi kubwa au la. Cheki keyboard yako pia kama iko sahihi haujabonyeza Caplocks.
 
Back
Top Bottom