Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Kama inazngua achana nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu...wacha nijaributena...ila nakumbuka user name niliishia kwa .mtindo huuS0000-0000 bas...sikuweka na mwaka...ngoja nijarbu hvyoUnakosea kujaza taarifa zako kama uliingia kwa email jaribu namba ya form four ! Kwa mfumo wa Sxxxx-xxxx/yyyyy. Hakikisha pia password iko sawa, yaani kumbuka kama ulitumia herufi kubwa au la. Cheki keyboard yako pia kama iko sahihi haujabonyeza Caplocks.
IT wa tamisemi ni nyumbu tuNapambana sipati majibu, na huu mfumo ni jipu tu, hivi IT watz bado wanasua sua.
Kutokuweka mwaka tayari ni changamotoNashukuru mkuu...wacha nijaributena...ila nakumbuka user name niliishia kwa .mtindo huuS0000-0000 bas...sikuweka na mwaka...ngoja nijarbu hvyo
Umefanikiwa ??
Ntumie namba yako ya form four inbox na mwaka wa kumalizaBado majanga asee....sijajua hii system ina shida gani...ukipiga wala hawapokei
Mkuu bado hujamaliza applicationBado majanga asee....sijajua hii system ina shida gani...ukipiga wala hawapokei
Hello, weka details zako kama ilivyo kwenye cheti cha form 4, mfano kama ni Mani Mushi Mussa andika MAN M MUSSA itafaa. Good luck.Wapendwa, naomba msaada. Najiunga OTEAS online, mwisho wa kuhakiki Ina niambia NECTA CANDIDATES PARTICULAR DOES NOT MATCH,, Naombeni munisaidie wapi nakosea ili nirekebishe.
Asante mkuuNtumie namba yako ya form four inbox na mwaka wa kumaliza
Hapa ndo nilikuwa napotea jombaaKutokuweka mwaka tayari ni changamoto
Umeweza
Mkuu ulipata ufumbuzi hapa mimi nishakata tamaa siku nazo zinayoyomaTangu mfumo umefunguliwa, kwenye baadhi ya kada za afya ukifungua sehemu ya kuchagua mikoa ya kufanyia kazi haifunguki, na bila kuijaza hyo sehemu mfumo hauendelei mbele.
View attachment 1780299
Tangu mfumo ufunguliwe hali ni hii hii. Je, Tamisemi hawajalitambua hili?
mbona umefika hatua nzuri, reload hyo page itakurudisha homefanya kuendeleaWadau mimi nakaribia kufeli kabisa.,, nini hiki leo siku ya nne haikubali msaada tafadhali.View attachment 1790191
Umefanikiwa?? Me pia inagomea hapoWadau mimi nakaribia kufeli kabisa.,, nini hiki leo siku ya nne haikubali msaada tafadhali.View attachment 1790191