Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Rushwa ya ngono vyuoni ni kubwa sana.

Nina videmu virembo kama 4 vya vyuo, mara nyingi vinanipa stori za walimu wao kuwataka wawakule.

Anyway, I once used to be a teacher, tulikua tunaziita hizo kua ni teaching incentives.

Jambo la rushwa ya ngono ni jambo lisiloweza kuisha.
Akati vyenyewe ndo vinawataka hao walimu, ili wapate kitonga cha pesa na kufaulishwaa, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan mtu aanze ukahaba na umalaya kisa alinyanyaswa kingono na lecturer? Hao walishakua na hizo tabia kabla, wasitake kusingizia wengine.
Hapa mkuu utaamua tu kubisha tabia yoyote huanza na sababu labda tu uamue kubisha.
Kisaikolojia hilo si jambo la kushangaza mtu kupitia unyanyasi wa ngono na kujikuta amejikatia tamaa haoni tena thamani ya mwili wake na atafanya maradufu.
 
Huu ni ukweli.
Huwa tunaanza kuangalia juu ya tatizo kabla ya kiini
Huko kwenye ajira ndio usiseme mwanamke akikuta mwanaume ni HR au boss hio imeisha hapo kupata kazi mpaka rushwa ya ngono.
Kwenye mahotel ndio usiseme.
Wanaume kichwa cha chini ndo kinatupeleka kuliko cha juu
Hawa dada zetu wanakuwa na ufaulu mzuri ila wajinga wenye tamaa wanataka kufanya nao ngono...Hili suala la ngono wanaume ndio chanzo ...

Wanawake wanakosa haki yao kisa watu weny tamaa za ngono...Unakuta boss katembea mpaka na wafanya usafi ili awape kibarua...
 
mabinti zenu ndo konkodi wa kuwatega na kuwawinda hao wakufunzi ili wapate kitonga cha pesa na kufaulishwa.
Hii ya kunyanyaswa kingono ilikuwa zamani,sasa hivi mabinti wenyewe wanawagombania wahadhiri! Nenda UDSM na vyuo vingine yaani ni kutegana!

Nafikiri moja ya sababu ya kupiga marufuku mavazi yasiyofaa pale UDSM ni kupunguza hali hii!
 
Hapa mkuu utaamua tu kubisha tabia yoyote huanza na sababu labda tu uamue kubisha.
Kisaikolojia hilo si jambo la kushangaza mtu kupitia unyanyasi wa ngono na kujikuta amejikatia tamaa haoni tena thamani ya mwili wake na atafanya maradufu.
Sibishi ila nasema ukweli ambao wengi hamuutaki, usitake nikaleta jambo lingine lenye mlengo wa kunyanyaswa kingono, ambapo wengi huwa hawakubali hili.

Kunyanyaswa kingono ndo ticket ya kuwa kahaba na malayaa? Tena zungumzia scenario ya mkufunzi na mwanafunzi wake?
 
Hakika sababu nimeshaona na si Hadith.
Tena si kuishia kuwa kahaba na ukimwi juu na ukimuona alivyo huwezi kukubali huyu ni muathirika
 
Hii ya kunyanyaswa kingono ilikuwa zamani,sasa hivi mabinti wenyewe wanawagombania wahadhiri! Nenda UDSM na vyuo vingine yaani ni kutegana!

Nafikiri moja ya sababu ya kupiga marufuku mavazi yasiyofaa pale UDSM ni kupunguza hali hii!
Hapo UDSM nimeishi for few years, naelewa kila kitu. Na nnachokisema ninakijua na mimeshuhudia, wala sijahadithiwa.

Siutaki unafiki mie, nasema ukweli.
 
Hawa dada zetu wanakuwa na ufaulu mzuri ila wajinga wenye tamaa wanataka kufanya nao ngono...Hili suala la ngono wanaume ndio chanzo ...

Wanawake wanakosa haki yao kisa watu weny tamaa za ngono...Unakuta boss katembea mpaka na wafanya usafi ili awape kibarua...
Wapo wanaojitegesha wenyewe mzee

Na kuna hali zikitokea ke hatoweza kumshtaki lecturer, akimshtaki lect. anakosa kazi, ke anakosa chuo

Fikiria labda hajafanya test, hakutoa taarifa, hapa kete zote ziko kwa lect. ke akienda kushtaki lect. akishafukuzwa na yeye anadisco
 
Hawa dada zetu wanakuwa na ufaulu mzuri ila wajinga wenye tamaa wanataka kufanya nao ngono...Hili suala la ngono wanaume ndio chanzo ...

Wanawake wanakosa haki yao kisa watu weny tamaa za ngono...Unakuta boss katembea mpaka na wafanya usafi ili awape kibarua...
Hili kila mtu analijua.
Nina rafiki yangu yeye alienda kuomba nafasi hotel moja hapa dsm. Alipofika kule kama kawaida manager akamwambia nipe nikupe. Demu akanipigia nimeambiwa moja mbili tatu. Nikamwambia mshkaj wangu usijaribu utaishia kuwa mtumwa wa ngono, sababu ukimpa ngono ili upate kazi kila atakapokuhitaji lazima ufanye hivyo na huwez kumkatalia sahiv yupo zake anasuka kila sehemu anayoenda wanamtaka ngono. Vyeti kafungia kaamua awe msusi
 
Back
Top Bottom