Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Je ulipata changamoto zipi kiafya baada ya kuacha kwa mara moja?mimi binafsi ni shahidi na niliacha vyote mara moja kirahisi tu.
Na ilikuchukua muda gani kwa afya yako kurejea kwenye utimamu, kuwa kawaida kama ilivyo kwa hivi sasa?