desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Wanakuwa kama mademuHalafu naambiwa kuwa wanaume wasiokunywa pombe wanakuwa wambea wambea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuwa kama mademuHalafu naambiwa kuwa wanaume wasiokunywa pombe wanakuwa wambea wambea sana
Ndani ya pombe Kuna oxford dictionarykwann walevi wakishalewa wanaongea kiingereza
Kunauhusiano gan kati ya pombe na hiyo lugha
Vp mbona unapaniki, mpumbavu mara mjinga.Mpumbavu habadiliki kamwe hata akipewa funzo,ila mjinga hukubali na kubadilika pale anapopewa funzo.
Sasa wewe ndugu chagua mawili kati ya hayo.
Kila mtu akichangia, anajibiwa kwa jaziba..Punguza jazba, pombe haikupendi mkuu achana nayo wewe na ukoo wako.
Alokwambia wenye matatizo ya figo na ini ni walevi pekee ni nani??
Nshakwambia hata ukinywa chai, soda, vijuice vya kiwandani, bites na makitu mengi ya madukani humo unajiharbu pia.
Acha kuikandia pombe kisa tamaa zako za pombe za bure.
Hili nakubaliana nalo kwa 100%. Pombe ina faraja za kijinga sana, pombe inaweza kukufanya kukifikiria kitu kigumu kikawa kirahisi, sasa kutana na hiko kitu akili ya pombe ikiwa imeshakutoka ndipo ujinga wa pombe hujidhihirisha wazi.walevi hovyo sana wanajazana ujinga bar mimi hupenda kwenda bar kupata mchemsho au juice huku nacheki mpira ukiwasikiliza mipango yao ya pesa wakiwa wamelewa na asubui wanavyo kwepana utacheka sana
Achana na mim SHOGA WEWUmebwatuka tu hapa,listen nakuuliza kama point ya msingi pombe ni kitu kizuri au la?
Ndio kama uyu mtoa nada 😂😂😂Halafu naambiwa kuwa wanaume wasiokunywa pombe wanakuwa wambea wambea sana
Sasa wewe asubuhi unaamkia pombe wenzako wanaamkia kumpa kaisari fungu lake,Unaleta maneno rahisi hapa ili kujipa moyo na ulevi?
Sikia neno la Mungu linavyosema kutoka katika kitabu cha nabii Isaya 5:11-12,Ole wao waamkao asubuhi na mapema,wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao! Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
Mungu brother ndiye aliyeniokoa kwenye hilo janga,sitarudi tena huko maana ni gizani na majuto yake ni makubwa mno,ona watu humu wanavyo shupaza shingo kutetea,Mungu alishatuoanya katika neno lake katika mstari fulani wa kitabu cha nabii Isaya kua mkitii mtakula mema ya nchi bali mkikataa mtakufa kwa upanga.Uliwezaje kuacha vitu hivyo kwa mara moja? Na wakati kiu(arosto) ikikushika ulikuwa unatumia nn ili kutuliza kiu yako?
Kama pombe ni nzuri kwanini haipo katika nutritional guide jibu haraka hapa.Sasa wewe asubuhi unaamkia pombe wenzako wanaamkia kumpa kaisari fungu lake,
Au kunywa mwishowe unafanya mauzauza,
au kunywa tu bila kufanya mambo mengine,
no regard for your Lord's deeds your Holy book says...
Kama pombe inakuletea matatizo kwako na kwa walioluzunguka iwe physically, mentally, emotionally, economically, legally, socially....achana nayo.
Dada yangu aliolewa huko bwana kwenye harusi tukanywa soda tu, wageni waalikwa tunaangaliana tu kwani ni msiba? Harusi ilivyoisha tukanunua kreti tukaenda nazo nyumbani sherehe ikaanza rasmi ,😂
Kuacha inawezekana na ni rahisi mno kama ukiamua kunia mamoja na kumwogopa Mungu.Mbona mimi nimeacha vyote kirahisi tu na nafurahia maisha zaidi ya hapo mwanzo, mimi bangi nimevuta hadi kuotesha na kuvuna for myself use only sio kuuza nimeitumia for almost 6 years,beer,gin na wisky kwa miaka 3, vyote nimeviacha kirahisi tu na sasa niko huru.Hili nakubaliana nalo kwa 100%. Pombe ina faraja za kijinga sana, pombe inaweza kukufanya kukifikiria kitu kigumu kikawa kirahisi, sasa kutana na hiko kitu akili ya pombe ikiwa imeshakutoka ndipo ujinga wa pombe hujidhihirisha wazi.
Wengi tunatamani kuacha, lakini uraibu na kampani hutuangusha na kujikuta tukienda kinyume na matakwa yetu baada ya muda fulani.
Pombe hukaribisha umasikini,walevi tunaelewa hili yet hatuaachi🤣🤣
Hongera kama umeacha, lakini neno la Mungu linapinga vibaya ulevi na pia ni kitu kisichofaa kwa jamii ndio mana tunapowalea watoto hatuwafundishi kunywa pombe,sigara au bangi.Ukweli lazima usemwe na uongo lazima uanikwe wazi na upingwe kwa nguvu zote.Vp mbona unapaniki, mpumbavu mara mjinga.
Binafsi, nilikua nakunywa pombe nikaacha, ila huwezi kunikuta naipondea pombe au wanywaji.
Ulipo kama ni sahihi, basi enjoy sio kuponda wanywa pombe,..kwan ndio kitu kibaya zaidi kwenye maisha?
Utarikava na majuto, usijali.
Ati nini?Wewe ndugu hivi unajitambua kweli?Unajua unachokiongea? Yaani pombe au bangi kama ilivyotumika kubomoa mwili ndio itumike kama tiba?Wewe ni mjinga kabisa.Njia itakayotumika kubomoa mwili, njia hiyo hiyo itumike kwenye kuujenga..
[emoji28][emoji28][emoji28]Halafu naambiwa kuwa wanaume wasiokunywa pombe wanakuwa wambea wambea sana
Ni mzuri na mbaya piaUnabisha kua huku bwatuka? Eeh? sasa nilikuuliza swali la msingi cha kuhuzunisha na kuonyesha kiasi gani ubongo wako umeoza unakuja na matusi.Nilikuuliza pombe ni nzuri au la?Jibu haraka