Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Bado kijana mdogo weweMaadili? Ndugu yaani hata aibu huoni, eti maadili. Yaani kweli alcohol ikupe maadili na sio vitabu,watu sahihi na mafundisho.Jitathimini ulichokiandika vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kijana mdogo weweMaadili? Ndugu yaani hata aibu huoni, eti maadili. Yaani kweli alcohol ikupe maadili na sio vitabu,watu sahihi na mafundisho.Jitathimini ulichokiandika vizuri.
Lahasha, mimi nilikua nanunua kwa bajeti yangu nzuri tu sio kwa pupa, nilicho kuja kugundua niku nilivyokua mwanzo sivyo nilivyokua baada ya vilevi vyote hivyo bangi kwa miaka 6, beer,whisky na gin kwa miaka 3, ukweli ndio huo nilijiona kua nipo gizani na kifungoni pia nikatoka huko kirahisi tu ndugu.Tatizo halikua hivyo vinywaji , tatizo lilikua ni wewe binafsi. Umepata laki moja yote unaitumia kwenye gambe hapo tatizo ni mtu binafsi siyo pombe .
Habari ushimen.Even though a number of people have tried, no one has yet found a way to drink for a living....😊
Kwahiyo ni kitu cha kusifiwa kabisa sio? Kwanini katika vitabu vya dini na vya kutulea kiroho tunaonywa kabisa kuhusu vilevi vyote na kua tutavuna mauti(kifo)? Huoni kua Mungu muumba aliyekuumba kwa upendo hapendi uangamie na akatuonya kabisa?Hilo wewe hulioni sio?Pombe nazikata vizuri tu na haziathiri chochote kwenye harakati zangu Baba mnywaj mama mnywaji katulea vizuri tu
Tatizo unaleta facts za dini as if ww ni mdogo wa mungu sikia nikwambie kitu kimoja haya maisha we come and Go hakuna atakae ishi milele Alaf unaweza ukanywa pombe na usife pia unaweza usinywe na ukafa Hayo mambo sijui ya kiroho sijui nin sio kwamba siyajui nayajua vizur sana na nimelelewa kwenye dini piaKwahiyo ni kitu cha kusifiwa kabisa sio? Kwanini katika vitabu vya dini na vya kutulea kiroho tunaonywa kabisa kuhusu vilevi vyote na kua tutavuna mauti(kifo)? Huoni kua Mungu muumba aliyekuumba kwa upendo hapendi uangamie na akatuonya kabisa?Hilo wewe hulioni sio?
Ni madili sio maadili 😂Maadili? Ndugu yaani hata aibu huoni, eti maadili. Yaani kweli alcohol ikupe maadili na sio vitabu,watu sahihi na mafundisho.Jitathimini ulichokiandika vizuri.
Me natokea kwenye koo za wanywaji sijaona shida zaidi ya mtu umechoka unataka kurudi home wao bado wanaagiza ya mwisho mara ya nne 😂. Babu na bibi zangu wanakufa na 80+ bado wanakunywa!Hiyo kansa ya koo aliyoipata huioni? wewe unaangalia miaka sabini, huo ni ukipofu na ujinga toka gizani ndugu
Mhubiri 9:7-10Kwahiyo ni kitu cha kusifiwa kabisa sio? Kwanini katika vitabu vya dini na vya kutulea kiroho tunaonywa kabisa kuhusu vilevi vyote na kua tutavuna mauti(kifo)? Huoni kua Mungu muumba aliyekuumba kwa upendo hapendi uangamie na akatuonya kabisa?Hilo wewe hulioni sio?
Nani kasema kutumia alcohol ndiyo kigezo cha kuwa tajiri? Jiangalie..!! KWENYE POST YANGU MIMI SIJASEMA KAMA MATUMIZI YA ALCOHOL NDIYO KIGEZO CHA KUWA TAJIRI.Sasa ndio umeongea nini wewe? Kwahiyo kutumia alcohol ndio kigezo cha kua tajiri,huo ulioandika ni upuuzi jitathimini tena ndio unijibu.
Nimeisoma na hiyo part ya kua ukikua mlevi pia nimeisoma.Ungekua umesoma thread yangu vizuri ungenielewa, nimesema wazi kabisa mimi nilikua mtumiaji wa bangi kwa miaka 6,pombe kama beer,gin na wisky kwa miaka 3 na vyote nimeviacha kirahisi tu baada ya kuona kua napoteza muda wangu,pesa,utulivu na amani yangu.