Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

Daktari aliyesoma anatumia pombe na anafanya kazi vizuri. Nikiwa sekondari kuna mwanafunzi mmoja ili ashushe formula zake anapata pombe kidogo na mambo yanaenda.
Akati nipo university hapa hapa DSM Kuna rafk angu mmoja now yupo serikalini.......

Yeye alikua Ili aingie kwenye mtiani lazima apige glass Moja au mbili za GONGO....

Kama hujui GONGO inauzwa sana hapa DSM na police 🚓 huenda kupitia magawiwo na Wengine hutumia....

Kuna siku Ali ingia bila kunywa akatoka analalamika pepa tena la uwanja wa NYUMBANI limemsumbuaa....

Alipenda kutuambia aki ingia kwenye mtiani akiwa amekunywa pombe kwake mtiani ni kitu kidogo............................
Anasema alikua anayashuka material balaaa.....
 
Kama zimekushinda waachie wengine mkuu, kuimba kupokezana.

Pombe sio mbaya ila watumiaji wasiokua na kiasi kama wewe ndio huja na lawama kua pombe mbaya.

Kwanza jifahamu ukianza kulewa unakuaje,ikifika stage gani huwezi kuendelea kuzigida. Wengine huwa wanakimbia vilinge, akiona mzigo mzito haagi anayeya kama upepo.

Sasa nyie mnaotaka kushindana kuzigida, kusifiana huyu na yule ni walevi sana huwa zinawaua mapema kabisa.

Everthing too much is harmful
 
Nakazia
 
Akati nipo university hapa hapa DSM Kuna rafk angu mmoja now yupo serikalini.......

Yeye alikua Ili aingie kwenye mtiani lazima apige glass Moja au mbili za GONGO....

Kama hujui GONGO inauzwa sana hapa DSM na police 🚓 huenda kupitia magawiwo na Wengine hutumia....

Kuna siku Ali ingia bila kunywa akatoka analalamika pepa tena la uwanja wa NYUMBANI limemsumbuaa....

Alipenda kutuambia aki ingia kwenye mtiani akiwa amekunywa pombe kwake mtiani ni kitu kidogo............................
Anasema alikua anayashuka material balaaa.....
Huo ni mtego ndugu, mwombe Mungu sana usiangukie huko.
 
Nyie msio tumia bia, whisky na wine hua wambea sana
Wambea au ni ukweli?Mimi nimetumia bangi kwa miaka 6,pombe beer,wisky na gin kwa miaka 3 nimetumia na baada ya kuona hasara ya matumizi ya hivyo vitu sasa nimeviacha kirahisi kabisa.Hakuna umbea hapo ni ukweli.
 
Hajui wengine wanafanya kazi huku wanakula vitu na ndo kazi inatembea.
Acha kujipa moyo mpendwa,Mungu hapendi hivyo vitu,wala system nzima ya mwili haikubaliani navyo.
Watumiaji wote wa pombe hujipa matumaini kua wao ni wanywaji na sio walevi lakini ukiangali lengo lao kabla ya kutumia lengo kuu ni kulewa hata kama ni glasi moja ya mvinyo au chupa moja ya bia,lengo kuu ni kulewa yaani kupoteza utimamu sahihi wa mwili.
 
Nimepata madili mengi sana
Maadili? Ndugu yaani hata aibu huoni, eti maadili. Yaani kweli alcohol ikupe maadili na sio vitabu,watu sahihi na mafundisho.Jitathimini ulichokiandika vizuri.
 
Wambea au ni ukweli?Mimi nimetumia bangi kwa miaka 6,pombe beer,wisky na gin kwa miaka 3 nimetumia na baada ya kuona hasara ya matumizi ya hivyo vitu sasa nimeviacha kirahisi kabisa.Hakuna umbea hapo ni ukweli.
Tatizo halikua hivyo vinywaji , tatizo lilikua ni wewe binafsi. Umepata laki moja yote unaitumia kwenye gambe hapo tatizo ni mtu binafsi siyo pombe .
 
Acha kujipa moyo mpendwa,Mungu hapendi hivyo vitu,wala system nzima ya mwili haikubaliani navyo.
Watumiaji wote wa pombe hujipa matumaini kua wao ni wanywaji na sio walevi lakini ukiangali lengo lao kabla ya kutumia lengo kuu ni kulewa hata kama ni glasi moja ya mvinyo au chupa moja ya bia,lengo kuu ni kulewa yaani kupoteza utimamu sahihi wa mwili.
Kila kitu kikitumiwa vibaya kina madhara mkuu.
Tatizo lenu nyie msiokunywa pombe huwa mnadhani mtu akiwa anakunywa basi ndo ile analala kwenye mitaro, hawezi kutembea anayumba mchana kweupe, nyumbani haachi kitu yeye ni pombe tu. Haiko hivyo ndgu, kwa sisi wengine ni kiburudishi tu.
 
Kufa kupo pale pale, haijalishi unakunywa pombe au la ni lazima ufe..
Kwahiyo alcohol inakubaliana na system nzima ya mwili sio?Kama ni hivyo kwanini mtu anapotumia ankua insane yaani kukosa utimamu?Huoni kua alcohol ndio chanzo?
Kingine hizo shuhuda za ndugu yangu ilyekufa tena kijana wa miaka around kwenye 30 hivi kwa maradhi ya ini hujasoma? Kuna shuhuda pia nimemjibu mtu kwenye page ya 1, kua yupo mzee ninaye mfahamu jirani nasi nimepewa habari zake kua amepata kansa ya koo na alikua mlevi wa kipindukia.
 
Cha ajabu, walevi wengi wana majumba na magari ambavyo wasio walevi wengi hawana..!!
Sasa ndio umeongea nini wewe? Kwahiyo kutumia alcohol ndio kigezo cha kua tajiri,huo ulioandika ni upuuzi jitathimini tena ndio unijibu.
 
Kila kitu kikitumiwa vibaya kina madhara mkuu.
Tatizo lenu nyie msiokunywa pombe huwa mnadhani mtu akiwa anakunywa basi ndo ile analala kwenye mitaro, hawezi kutembea anayumba mchana kweupe, nyumbani haachi kitu yeye ni pombe tu. Haiko hivyo ndgu, kwa sisi wengine ni kiburudishi tu.
Ungekua umesoma thread yangu vizuri ungenielewa, nimesema wazi kabisa mimi nilikua mtumiaji wa bangi kwa miaka 6,pombe kama beer,gin na wisky kwa miaka 3 na vyote nimeviacha kirahisi tu baada ya kuona kua napoteza muda wangu,pesa,utulivu na amani yangu.
 
Back
Top Bottom