Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Apr 21, 2023 #141 Wakili said: mimi binafsi ni shahidi na niliacha vyote mara moja kirahisi tu. Click to expand... Je ulipata changamoto zipi kiafya baada ya kuacha kwa mara moja? Na ilikuchukua muda gani kwa afya yako kurejea kwenye utimamu, kuwa kawaida kama ilivyo kwa hivi sasa?
Wakili said: mimi binafsi ni shahidi na niliacha vyote mara moja kirahisi tu. Click to expand... Je ulipata changamoto zipi kiafya baada ya kuacha kwa mara moja? Na ilikuchukua muda gani kwa afya yako kurejea kwenye utimamu, kuwa kawaida kama ilivyo kwa hivi sasa?