Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

Jamaa ametoa wazo la kuwa na umeme wa uhakika,wewe unakngelea bei ya umeme-soma vitu uelewe kwanza kabla ya kukoment.
Baada ya bwawa la Nyerere kukamilika hakutakuwa na haja ya kutumia gharama hizo kubwa kuja kujaza kibwawa kidogo Cha mtera kutokea Victoria..
 
Miundombinu ya gesi ya mtwara ilikuwa tayari, kilichotakiw ni kuongeza tu uzalishaji - mwendazake naye akaja ya yake kwamba eti gesi yote ishauzwa kwamba tulipigwa vibaya sana - hivyo CCM wakamshauri aachane na huo mradi na bomba lao kisha aanzishwa mradi wake wa Rufiji ili ajizolee misifa kwamba umeme wa uhakika na bei nafuu, sasa mradi wenyewe umedoda.

Tanzania hatujui tunachokitaka !!
Sawa Magufuli alikataa huo mradi wa gas,mbona umeme ulikuwepo alitumia umeme wa chanzo gani??
 
Baada ya bwawa la Nyerere kukamilika hakutakuwa na haja ya kutumia gharama hizo kubwa kuja kujaza kibwawa kidogo Cha mtera kutokea Victoria..
Umeme unatakiwa sasa hivi achana na hadi bwawa kukamilika,hii Nchi ina upumbavu mwingi sana.kila Rais akija anafanya yake ambayo hayapo kwenye Mpango wa maendeleo wa Nchi-wanaishia kufuja pesa na mambo hayakamiliki.
 
Kwa hiyo unaweza Anza kukaza Bomba Sasa hivi ukamaliza Sasa hivi na ukapata umeme Sasa hivi? Acha undezi..

Huo ujinga hautokuja kufanyika,kwa kipindi Cha mda mfupi subiria mvua zimeshaanza kunyesha na kwa uhakika zaidi mwisho wa.disemba mtambo wa.megawtt 185 wa gas unawashwa utakuwa umekamilika so umeme utastabilise hata kabla ya mabwawa kujaa.
 
Tanzania na African zina shida sana kuanzia Wananchi mpaka wanao pewa dhamana,Duniani kote hamna nishati rahisi kupatikana kama Umeme...
Huyu unayemtetea ndio kafanya upuuzi mkubwa wa kujenga bwawa la Nyerere wakati anajua fika kuna mabadiliko ya tabia nchi. Hayo maji ya bwawa la Nyerere na ukame huu yatatoka wapi kuendesha iyo mitambo.
 
Kwani umeambiwa ukame utadumu milele?
 
Wakati gesi ipo Tele ...ni swala la kuongeza Tu generator za gesi baasi
At what cost per BTU ? Yaani Tanesco kila Unit atakuwa ananunua nani kutoka kwa whomever owns the Gas ?

Na tukiamini ya Mnyika kwamba baada ya miaka 30 gas itakuwa imekwisha, pia hio mikataba ya LNG watu wanawekeza ili wapeleke nje wapate top dollar unadhani wewe watakuuzia kiasi gani ?

Mimi sina details lakini common sense inaniambia huenda isiwe black or white
 
Harafu acha upotoshaji wa kipumbavu..

Awamu ya 3 ya Mkapa ulitaka kubinafsisha Tanesco so uamzi wa mwisho haukufikiwa ndani Baraza la Mawaziri baadae wakaja...

Hukufanya research, umekurupuka kuokoteza andiko lako, Blue Nile contribution to Nile river is >80%. Meaning that ethiopian source contribution is greater than LV
 
Huyu unayemtetea ndio kafanya upuuzi mkubwa wa kujenga bwawa la Nyerere wakati anajua fika kuna mabadiliko ya tabia nchi. Hayo maji ya bwawa la Nyerere na ukame huu yatatoka wapi kuendesha iyo mitambo.

Hoja ni nchi kutowaza umeme peke yake kuna vyanzo vingine kama makaa ya mawe, upepo, gesi, kote huko tuwe na uhakika wa kuzalisha nishati ya kutosha mahitaji, chanzo kimoja kikigoma tunahamia kingine bila kelele
 
Pesa zinazotumika kujenga mradi wa Nyerere ndio zilibidi ziende kufanya iyo miradi ya gesi, solar na makaa ya mawe.
 
Hoja ni nchi kutowaza umeme peke yake kuna vyanzo vingine kama makaa ya mawe, upepo, gesi, kote huko tuwe na uhakika wa kuzalisha nishati ya kutosha mahitaji, chanzo kimoja kikigoma tunahamia kingine bila kelele

Umeme na mafuta ni vyanzo vikubwa vya deal. Hata ministerial post katika hilo eneo lazima uwe msiri wa Bwana/bibi mkubwa.
 
Muwe munaficha ujinga, sio lazima ushushe thread ya kujiaibibisha na kuaibisha Taasisi za Elimu Nchini.

Bora hata ungejikita Chit chat.

Pole, lakini umeniudhi.
Hawa wajinga wanaudhi sana jf siku imevamiwa eti Ethiopia wanatumia maji ya ziwa Victoria Ethiopia wana chanzo chao cha mto Nile ndo wanachangia 80% ya mto Nile .
 
Siku nyingine usirudie kuandika vitu usivyo na ujuzi navyo madhara yake ni haya
 
Ni mambo ya ajabu sana
Tanzania bado hamjakoma tu, mmetumbukiza ma trilion ya shilling kutengeneza chanzo kingine cha umeme wa maji, hivi mpo sawa kweli upstairs? wakati mna Gesi ya kumwaga, Makaa ya mawe ya kumwaga, mna Upepo wa hatari na pia mna jua kali ni balaa, vyanzo hivi vyote mmeona havifai si ndiyo.

CCM hebu acheni kutesa wananchi, hivi wamewakosea nini kulala gizani na kuoga kwa zamu ? afu kila siku mnaita wawekezaji wakati yaani na wao waje kuoga wa zamu kama sisi?

Halafu hilo Train la umeme litatembeaje kama hakuna umeme wa uhakika 100% au mtalifungia majenerator muweke na vituo vya kujazia huko njiani?
 
Miundombinu ya gesi ya mtwara ilikuwa tayari, kilichotakiw ni kuongeza tu uzalishaji - mwendazake naye akaja ya yake kwamba eti gesi yote ishauzwa kwamba tulipigwa vibaya sana - hivyo CCM wakamshauri aachane na huo mradi na hilo bomba lao kisha aanzishwa mradi wake wa Rufiji ili ajizolee misifa kwamba ametengeneza umeme wa uhakika kwa bei nafuu, sasa mradi wenyewe umedoda.

Tanzania hatujui tunachokitaka !!
Tunaenda kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Shida ya umeme haisababishwi na kupungua kwa maji, haya ni majibu tunayopewa wananchi.

Ukweli ni kwamba kuna kampuni zinauzia Tanesco umeme (power sharing agreement) ,nadhani kuna conflict of interest inayosababisha tunahujumiwa.
 
Back
Top Bottom